Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Deo yupii?? Kwani kuoa ndo kuacha ushoga? Wapo walio oa na wana familia though hawaachi bado.
Huyo aliokoka akawa anakuja kanisani kuombewa ilikua 2018 kwa maelezo yake hataki tena kapata mchumba leo ndoa.

Deo alimaliza course ya law Udsm kama sio 2018 basi 19 ni mrwanda
 
Vizuri sana. Vipi maendeleo yako sasa hivi, bado una maintain kuwa Straight?
 
Huyo aliokoka akawa anakuja kanisani kuombewa ilikua 2018 kwa maelezo yake hataki tena kapata mchumba leo ndoa.

Deo alimaliza course ya law Udsm kama sio 2018 basi 19 ni mrwanda
Oooh kumbe, simfahamu huyo, nweii Hongera yake sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…