BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Haitokuja kutokea kamweKwa utamu wa BORA nachelea kusema lazima urudi kuchezea KIPHIRO
Nimeshawahi post humu nilivoanzaUngeweka historia ya ulivyoanza na umekuwa shoga kwa muda gani? Je mashine ipo strong au mpaka iboostiwe?
Usijipe moyo, mwanaume anaye zagamua umlinganishe na shoga anayeshika ukuta anakatika akizagamuliwa? hata dhambi zao ni mbingu na ardhi..Ww sio mungu ni kwamba you are perfect dhambi unayofanya ww ya kuzini au kuiba na wanaofanya mashoga wote ni motoni
Asante sana mungu akubariki kwa maneno yako ya faraja nimekuelwa na bora ulivonikumbusha na kunisisitizia hilo swala nilikuwa na mpango wa kubadili nambaHongera sana kwa ushindi wako mkubwa dhidi ya kifungo ulichokuwa nacho.
Umeonesha ujasiri, nguvu ya ndani, na nia ya kweli ya kubadilika.
Hatua uliyochukua ni ya heshima na ni mfano mzuri kwa wengine hapa JF.
Nashauri ukiweza badirisha nambari yako ya Simu, marafiki uliokuwa una hangout nao, bila kusahau mabasha mliokuwa mkifanya nao huo ufuska.
Endelea kusonga mbele na kamwe usitamani kurudi Misri kwa maana Mungu muweza amekusaidia kuvishinda hivyo vita
Kila la heri Mkuu!
Aisee sawa mkuu utaenda mbinguniUsijipe moyo, mwanaume anaye zagamua umlinganishe na shoga anayeshika ukuta anakatika akizagamuliwa? hata dhambi zao ni mbingu na ardhi..
Sawa ubarikiwe wa mbinguniAdhabu yako ni motoni shenz kabisa
Kuacha kitu inategemea na mtu siwezi kumtaja mtu ambaye amenisaidia yule dada mungu ambariki. Kuna utofauti Kati ya miezi 7 iliopita na nilipo sasa hivi huuMiezi 7 tu umeisha acha? Si juzi tu hapa ulikua unaomba ushauri uache. Hapo umeacha na umepata demu humu JF mbona unatunywesha chai ya mchana bila aibu.
kijana Tulia hiyo ni addiction ambayo inachukua almost mwaka au Miaka kuiacha. Just chill na muombe Mungu akupe uvumilivu.
Vinginevyo unatafuta engagement
Tubarikiwe sote Mkuu!Asante sana mungu akubariki kwa maneno yako ya faraja nimekuelwa na bora ulivonikumbusha na kunisisitizia hilo swala nilikuwa na mpango wa kubadili namba
Sawa changamoto ni kwamba wanafikiri bado nipo huko na nikiwambia nimeacha hawamini ila sijaliKomaa Sanaa utafanikiwa pakubwa, nahisi hutarudi kabisa huko. Lazima ujipange kisaikolojia Ili akili yako ipambane na wale wanaokujua kuwa uliwahi kuwa huko.
Amina nitafanya hivo asante sanaTubarikiwe sote Mkuu!
Kubadirisha nambari ya Simu ni muhimu sana kwasasa ili kukata mtandao wote na kuanza upya.
Nina amini Mungu ana makusudi na wewe
Hayo ni mawazo yako cha muhimu ninachozingatia mashine inafanya kazi na ipo strong than beforeMwanaume kamili ni lazima awe na bikra ya nyuma