Cc... ConfessionSiamini ninachokiona wana jamii forums mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi. Nilipata manzi mmja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa nikajishangaaa. Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up. Na mpamgo wa kubadilia jina la jamii forums natamani nisingezaliwa to nafurahia ukuu wa mungu.
AminaUmeshinda
Ubalikiwe kwa kulikimbia giza
YESU ni MWAMINIFUAmina
HakikaYESU ni MWAMINIFU
Barikiwa sana 🙏🙏🙏Amina nitafanya hivo asante sana
Hayo ni mawazo yako cha muhimu ninachozingatia mashine inafanya kazi na ipo strong than before
Haujaamua tu.Nimevuta sigara muda mrefu,na nikaacha mwenyewe.Siku nikiweza kuacha uvutaji wa sigara nitakuamini
Mademu wote wanaotaka kukujaribu kwakuwa walikuwa wanakujua kuwa ni shoga. Uta wala kiurahisi.Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.
Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.
Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.
Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
Nawew ni mmoja wao??Tubarikiwe sote Mkuu!
Kubadirisha nambari ya Simu ni muhimu sana kwasasa ili kukata mtandao wote na kuanza upya.
Nina amini Mungu ana makusudi na wewe
Huyu ni verse aliechangamka ni suala la muda tuSikupingi
Kwamba kuna watu walikuja pm kukutaka wakakufanye wanaume wenzako??Waulize waliokuja pm kipindi kile I'm struggling with it walikula block nimeacha mkuu pia watu tunatofautiana hao na mm ni tofauti
Mbona umeuliza hivyo Mkuu?Nawew ni mmoja wao??
"Mabwana" zako wakikuona wanakwambia nini?Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.
Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.
Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.
Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
Wanaume wa humu waongo hakuna mwanamke atawakubali, hata usiwaze mkuu..!!