Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

GOD'S LOVE IS MORE POWERFULL THAN ANYTHING
NAJUA LAZIMA UNAWAFAHAMU WENGI WALIOKUWA NA HIO TABIA WAPE USHUHUDA NA JARIBU BILA KUKATA TAMAA KUWASAIDIA...HAKUNA KITU KITASHINDIKANA KWA IMANI
 
Wanaume wa humu waongo hakuna mwanamke atawakubali, hata usiwaze mkuu..!!
Wizo juzi nimepata kibosile wa humu humu JF amenidinya haswaa mpaka KIBWENYE CHANGU kikatokota na kufuka moshi.

Baada ya kukisambaratisha KIBWENYE CHANGU akaniachia KITITA cha
alfu thamanini.

Cc: Mbaga Jr Extrovert cocastic min -me
 
Siku nikiweza kuacha uvutaji wa sigara nitakuamini
huitaji Mungu kuacha sigara, Nina miaka 20 nimevuta sigara..ila sasa nina miaka 7 sijaitia mdomoni... Binadamu amepewa uwezo wa akili iliafanye maamuzi Mungu ndio alitupa hiko cha muhimu kuliko chochote Akili anza kwanza kujifunza kuwa na Maamuzi na kuyashikilia Maamuzi yako Addiction ni ubongo wa mtu ndio una Process addiction
 
Mungu azidi kukulinda
 
Mwiteni Tundazuri
 
Je unaweza kuwaexpose/ kuwaweka hadharani wafiraji waliokuwa wanakufira hasa yule wa kwanza ili tuwachukulie hatua wasiendelee kuharibu watoto na vijana wengine? Ukipata Nafasi Utaweza Kuwachinja wafiraji hao?
Mm nimeshatoka huko mkuu nimeshasamehe ila jua wapo wengi sana zaidi ya sana
 
Naskia huwa hazitoki mpaka upigwe Bomba
Na hizo ndo huwa zinawasha unakuwa unalitaka dudu la yuyu
Au we ndo yule best wa wema sepenga nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…