Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Hongera kwa kuwa mwanaume kamili,jitahidi usianguke tena.
Wengi tumefurahi uponyaji wako na nakupongeza kwa hatua hiyo.
 
Mungu akusimamie inshaallah....shetani ni baba wa maovu ..fanya ibada kwa wingi na mazoezi kwa wingi pia....badili na Id yako upate kuishi kwa amani .
 
Una muda gani umeacha mkuu?
Week 2 ambazo boy wako hajakutafuta haitoshi kusema umeacha ushoga mkuu..
 
Jifariji tu mzee lakini kama ulivunjiwa marinda hiyo ovaa milele na milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…