Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Ndugu waislam hivi hawa mashehe wanaohubiri kupingana na make kwa wanawake wapo sahihi?
 
Yan mm Muslims ndio hapa tu kinachonifanya nashindwa kumuoa binti yule. Kuoa rahisi vile vile kumwagana rahisi. Yani ndoa ya Kiislam ipo kama unabet mchezo wa KENO vile.
[emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
WE JAMAAA NOMA!
SEMA NINI!ULIWAPA MINGI SANA!
wenzio hata MWAKA HAWAKUTAKA UFIKE!
miezi sita tuuuuu!INATOOOOSHA SANA!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwani wameachana mmoja si kadai yeye ndio ametoa ruhusa meneja aoe mke wa pili
Siku zote amini mpaka amekuwa mkuu wa wilaya kuna rushwa moja kubwa ya siri ilitoka
Hii chakula ya waliompa vyeo au waliompigania mpaka akateuliwa

Yangu macho
 
Back
Top Bottom