Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Ndoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua
Mkuu chukua bia kreti mbili hapo unywe na wale waliokutolea maneno makali ulipotabiri haya mimi nitalipa!

Mke mwanasiasa mchezo.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwani wameachana mmoja si kadai yeye ndio ametoa ruhusa meneja aoe mke wa pili
Siku zote amini mpaka amekuwa mkuu wa wilaya kuna rushwa moja kubwa ya siri ilitoka
Hii chakula ya waliompa vyeo au waliompigania mpaka akateuliwa

Yangu macho
usiendeelee basi kuwatabiria,ukoje lakin!
NDOA ISHAKUWA CHALI HUKO!
HAKUNA CHA RUKSA WALA NN!
 
Kwenye Arusi kulikuwa na beer Kwa ajili ya wageni waalikwa wanaotumia ?
 
msiokunywa pombe mna shida sana.Kijana bado mbichi kaoa wake wawili atawaweza kuwatimizia sita kwa sita au huyo wa serikalini watakuwa wanamsaidia.Vyeo vingine bwana vinapatikana baada ya kufaulu mtihani/interview.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaan nam ndo nafikiria hapa ameupataje maana Kwa umri huo jmn m nilikuwa ndo namaliza chuo ambapo ni umri wengi wanaokuwa wanamaliza au anaemfahamu Bi harusi jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua kiongozi wa uvccm. na pia kiongozi wa chama chuoni
 
Karibu ktk ulingo wa tamu na chungu ambamo Samsoni ni marachache sana kutoka salama.
 
Back
Top Bottom