Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Preferences zinatofautiana mkuu, i guess you know that.Toa neno tatizo hapo hatutafuti miss world !huyo mtoto kama physical wife material kuzaa mbegu nzuri za watoto na 100% mgegedo murua yuko safi sana ready to loose me leg to have such a woman as a wife!tatizo ufupi kwani nataka mchuma karafuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
When you are looking for a wife hayo mambo ya muonekano wake huwa hayatiliwi maanani kwa tuliooa tunafahamu asilimia 99 hatujaowa our dream girls linapokuja suala la kuoa mwanamme unachanganyikiwa na mwanamke yeote yule, kwenye matamanio /michepuko unaweza sema nataka demu mrefu /mfupi /mwembamba mnene nk lakini inapojuja wife material kuna sifa zingine za msingi kujali ,imani uelewa na mambo mengine tu amabyo moyo na akili vinayajua sio macho na mikono!Kabla sijaoa nilikuwa team warefu lakini wife wangu si mrefu na ana m resemble mcumba wa jamaa asilimia nyingi tu (ki ungwana na admit moja ya sababu ya povu langu mkuu i have a first hand knowledge ya wanawake wa physique ile)
Huyo dada anaitwa Jackline Walter Mushi, kwao ni kiluvya. Amemaliza Mzumbe (mbeya campus)
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii ndio JF bwana hahahaHuyo mtoto ni ana shepu na mzigo wa maana..tatizo moja ni mfupi wa kimo, ila ni mzuri sana yani
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe uko hadi huku hahahaaaaaaaaaKumbe ni matunda ya kazi ya bwana?
Heee Hahaha aiseeMimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.
We unaona kabisaaa mwenzio ameshamuwahi halaf na ww unataka namba zake umtongoze huoni hatari hiyo?Kivipi, nani aliyekudangaya kuwa kutongoza ni dhambi?
π π π π π nmecheka sanamuda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
If you dont stand for something, you will fall for anything.When you are looking for a wife hayo mambo ya muonekano wake huwa hayatiliwi maanani kwa tuliooa tunafahamu asilimia 99 hatujaowa our dream girls linapokuja suala la kuoa mwanamme unachanganyikiwa na mwanamke yeote yule, kwenye matamanio /michepuko unaweza sema nataka demu mrefu /mfupi /mwembamba mnene nk lakini inapojuja wife material kuna sifa zingine za msingi kujali ,imani uelewa na mambo mengine tu amabyo moyo na akili vinayajua sio macho na mikono!Kabla sijaoa nilikuwa team warefu lakini wife wangu si mrefu na ana m resemble mcumba wa jamaa asilimia nyingi tu (ki ungwana na admit moja ya sababu ya povu langu mkuu i have a first hand knowledge ya wanawake wa physique ile)
Sijui mkuu wewe unanyongeza ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree with u lakini hayo ni maoni na uzoefu hatujui the general public kwa ujumla wao wanalichukuliaje suali hili la wenza wetu pale inapokuja kuchagua ni physique ya mtu au mambo yanayo mtofutisha na wengine kama haiba hulka silka?If you dont stand for something, you will fall for anything.
Tukianza kupeana elimu ya mapenzi, mahusiano na ndoa hatutomaliza hapa maana tunatofautiana mitazamo, itikadi, misimamo na background.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuuI agree with u lakini hayo ni maoni na uzoefu hatujui the general public kwa ujumla wao wanalichukuliaje suali hili la wenza wetu pale inapokuja kuchagua ni physique ya mtu au mambo yanayo mtofutisha na wengine kama haiba hulka silka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini na kauli zako.Mungu hayupo, kama yupo thibitisha.
Sema jingine.
Unaonekana ni much know sio bureHupendi ubishani wa dini wakati unabishana kuhusu dini tayari kwa kujiwekajuu kwamba unamjua Mungu na kuniombea Mungu anisaidie?
Wewe hujui spelling za Kiswahili, hujui "mringie" from "mlingie" ndiye unataka kunifundisha habari za Mungu mimi?
Wewe ndiye huna umakini kwa kuwa unafanya censorship kwa watu wanaohoji dhana za kijinga.