KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Much know maana yake nini?
Katoto ka Mzumbe hako...........Mungu amsaidie sana mundu gwa KyalaUna maana miaka yote alikuwa ana Fanya zinaa Tu. Halafu hako Ka binti kanaonekana kajanja hakaendani na huyo jamaa
Hpo ndo ikweshen ina balance.binti mjanja mjanja sanaaa,yaani sanaaa tu.mimi mwenyewe niippoingia tu huku nikashangaa !nywys tusihukumu sana !ila ni mtoto wa mjini kuliko men !men ni mshamba shamba !tuwaombee heri tu kwakwel
Hapo wote ni mabikira.I hope bado hawajafanya matusi mpaka baada ya ndoa.
Jamaa kaingia cha kike..... Mademu wa chuo sametime ni janga sana, pasua kichwaKatoto ka Mzumbe hako...........Mungu amsaidie sana mundu gwa Kyala
We unaona kabisaaa mwenzio ameshamuwahi halaf na ww unataka namba zake umtongoze huoni hatari hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Acha kupotosha watu wewe lusiferWewe ndiye huna umakini kwa kuwa unafanya censorship kwa watu wanaohoji dhana za kijinga.
Mungu hayupo. Kama unasema yupo thibitisha.
Unaweza kuthibitisha kwamba wewe uko makini kwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo?
Au unataka kuleta umakini usio makini hapa?
Sent from my Kimulimuli
Wewe mjinga jifunze spelling kwanza kabla ya kujibizana nami.
Katika ubora wako wa kuwahi seat.Kila la heri kwake..Mungu amjalie ndoa njema
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Katika ubora wako wa kuwahi seat.
Hahaaa, mwanakwaya akiwa mbele pale ana macho ya huruma na utawa utafikri michezo haijui.
Ukimpeleka chumbani unasema kudadadeki we mtoto mi nakuona mwanakwaya mambo huyajui ndo unataka kunirusha mpaka darini?
Halafu kesho akikuona kanisani "Bwana asifiwe".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.
[emoji3]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema