Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

mimi mwenyewe niippoingia tu huku nikashangaa !nywys tusihukumu sana !ila ni mtoto wa mjini kuliko men !men ni mshamba shamba !tuwaombee heri tu kwakwel
Hpo ndo ikweshen ina balance.binti mjanja mjanja sanaaa,yaani sanaaa tu.
Hata huyo dogo nyakyusa usimchukulie poa, ohoooo!
 
Hongera zake mtumishi ila tokea nakua namsikiliza kwenye nyimbo zake..nilijua alishapata jiko kitambo.Mungu amtangulie.
 
Hakuna watu wanaoniboa kwenye mitandao kama wanaoleta mambo sijui ya bwana sijui mambo ya mtume. Religion is like penis, don't show it off to the public.
 
Wewe ndiye huna umakini kwa kuwa unafanya censorship kwa watu wanaohoji dhana za kijinga.

Mungu hayupo. Kama unasema yupo thibitisha.

Unaweza kuthibitisha kwamba wewe uko makini kwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo?

Au unataka kuleta umakini usio makini hapa?

Sent from my Kimulimuli
Acha kupotosha watu wewe lusifer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa, mwanakwaya akiwa mbele pale ana macho ya huruma na utawa utafikri michezo haijui.

Ukimpeleka chumbani unasema kudadadeki we mtoto mi nakuona mwanakwaya mambo huyajui ndo unataka kunirusha mpaka darini?

Halafu kesho akikuona kanisani "Bwana asifiwe".

JF never boring..... by The Boss
 
Back
Top Bottom