Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Afadhali amfute machozi baada ya yule wa kwanza kumfanyia vituko. Mungu aibariki ndoa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
1505394512311.jpg
1505394519112.jpg
1505394524325.jpg
wa kwanza alikuwaga mkali kama huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Binti mzuri aisee wacha nimsifie mwanamke mwenzangu
Sura ipoo
Shape ipooo
Guuu sasaa woooi....
Kiuno nyigu..tumbo flat
Hongera Mtumishi
 
Back
Top Bottom