Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakushinda hata wewe.ana bonge la mke yani duh
Me silinganishwi mkuu nipo tofautiKakushinda hata wewe.
CantstopwontStop
Kwamba wewe ni mzuri sana kushinda wengine sio?
Mzuri kivyangu usishindanishe mkuuKwamba wewe ni mzuri sana kushinda wengine sio?
CantstopwontStop
Mi najua kuwa wewe ni mzuri.
Afadhali amfute machozi baada ya yule wa kwanza kumfanyia vituko. Mungu aibariki ndoa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mi hivyo ndio vinanitia wasiwasi!View attachment 588228View attachment 588229View attachment 588230wa kwanza alikuwaga mkali kama huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Binti mzuri aisee wacha nimsifie mwanamke mwenzangu
Sura ipoo
Shape ipooo
Guuu sasaa woooi....
Kiuno nyigu..tumbo flat
Hongera Mtumishi
Tatizo wigi sasaView attachment 588228View attachment 588229View attachment 588230wa kwanza alikuwaga mkali kama huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Binti mzuri aisee wacha nimsifie mwanamke mwenzangu
Sura ipoo
Shape ipooo
Guuu sasaa woooi....
Kiuno nyigu..tumbo flat
Hongera Mtumishi
Mkuu unanifungua macho kumbe ashawahi kuwa na mchumba wa kwanza au mke???Afadhali amfute machozi baada ya yule wa kwanza kumfanyia vituko. Mungu aibariki ndoa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka picha yake tuone...... 😵 😵 😵 kwanjni waliachana sababu???kumbe ndo maana jamaa kachelewa kuoa???View attachment 588228View attachment 588229View attachment 588230wa kwanza alikuwaga mkali kama huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Binti mzuri aisee wacha nimsifie mwanamke mwenzangu
Sura ipoo
Shape ipooo
Guuu sasaa woooi....
Kiuno nyigu..tumbo flat
Hongera Mtumishi
Mchumba. Kabla ya ndoa mchumba akatiwa mimbaMkuu unanifungua macho kumbe ashawahi kuwa na mchumba wa kwanza au mke???
Ha ha haaa yani we msukuma chizi kweliMimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.
Umefurahiii. Umepotelea wapi siku mbili tatu hizi? Kuna mjanja kakuficha nini?Ha ha haaa yani we msukuma chizi kweli
Kwanini hazina raha?muda wote alikuwa hajaoa? ila ndoa za walokole hazinaga raha yoyote .labda huyo dada awe sio mlokole
Umeanza Al-Watan,umekuta watu wanachangia vizuri unachafua hali ya hewa,lini utaacha kutumikishwa na Shetani?Mungu hayupo, kama yupo thibitisha.
Sema jingine.
Nipo sana tu,we si umenigaya sikuhizi jamani lolsUmefurahiii. Umepotelea wapi siku mbili tatu hizi? Kuna mjanja kakuficha nini?