Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Hahahahah alikuwa anamwaga moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Thread ilikuwa inasema World Bank wamesema Kenya wananchi wake wanaishi maisha ya kimasikini Sana.

Aisee dada alifika na Moto wa mitusi kwa watZ, utadhani sisi sasa ndiyo tuliotoa tamko[emoji1787]
Ngoja nikaangalie lile battle liliishaje ..ila kama ile ndiyo sample yao basi nikiri wana hatari[emoji38][emoji38][emoji119]
 
Utanipa link nikasome namimi😂😂😂 huyo ni ladiez and gentromen
 
Back
Top Bottom