Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote.

===

Syria’s Bashar al-Assad and his family have arrived in Moscow and have been granted asylum by the Russian authorities, Russian news agencies report, citing a Kremlin source.

The Interfax news agency quotes the unnamed source as saying: “President Assad of Syria has arrived in Moscow. Russia has granted them (him and his family) asylum on humanitarian grounds."

Times of Israel
 
Russia wanafiki sana au Hawana Nguvu waliyokua wanatuambia Wanayo!!! Kila mahala Russia kavurugwa na hana msaada nchi zote ally wake zimechakazwa sanaa..Anzia Libya, Iraq,Syria, LEBANON imebakia Iran tu na Korea ambao naamini Wanazilia timing wazipige ....Ili Wamtese wamemweka yeye mwenyewe kati na kibaraka anaitwa Zelensky hivi kweli Russia wala KGB wameshindwa kumalizana na mtu kenge kama Zele??? Anaruka ruka pale wameshindwa kummaliza???
Naamini hata Iran na Hizbollah wameanguka kabisa kijeshi
 
Kuna miaka ya nyuma nilijiuliza alikuwa na nguvu gani ya kiburi alichokiwa nacho kwa issue angeweza kuwa na kubadili

Sasa yamemkuta

Mkewe bado ni yule wa ulaya nchi nimesahau
 
Back
Top Bottom