Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa mjini MoscowWamempa nyumba mitaa gani nikipita pande zile nikampe hi.
Ila wewe jamaa yetu hua huna misimamo kabisa.Russia wanafiki sana
Naamini hata Iran na Hizbollah wameanguka kabisa kijeshi
Unadhani kwa mtu ambaye alikuwa Rais kuwa mkimbizi ni sawa? Hujui inaathiri vipi psychology yake.
Wananchi wa Syria ndio wanaenda kuonja joto la jiweacha aonje joto ya jiwe maanina, aliiweka nchi mfuko wa nyuma kama ni ya mama ake vile!
Yanukovich alikimbia na briefcases zimejaa dollars itakuwa walimuacha tu ajitegemee. Ila Assad kwenda Russia ni kuwa alikuwa na makosa mengi ya kibinadamu otherwise angekaa UAE au Qatar angeishi vizuri sana.
Ameenda kuolewa?Daaah nyie madogo kweli ni kazi. Wewe unaweza enda olewa na rafiki yako tajiri? Wewe unaweza kaa kwa shemeji yako as long as unakula na anakuachia gari la kutembelea. Wanaume hatupendi hayo.
Unapia kama nani. Achana na mihemko ya hovyo. Urusi ni supa pawa wa mchongo aka mandonga tu. Kama supa pawa anashindwaje kupigana pande zaidi ya moja. Huyo US yupo anamsaidia ukreine yupo anamsaidia israeli yupo kule taiwan yupo hapo mashariki ya kati kote sasa nihitimishe kusema tu RUSSIA wakienda man to man hamuwezi US kubali kataaIla wewe jamaa yetu hua huna misimamo kabisa.
Hivi unajua Assad amekuwepo madarakani kwa karibu miaka 30 kwa msaada wa ulinzi wa Urusi na Iran.
Utawala wa Obama ukitaka kumtoa Urusi wakamkingia kifua,utawala wa Trump wakajaribu kumtoa wakashindwa na Sasa mwishoni kabisa utawala wa Biden wameweza.
Hivi unadhani Urusi wangeweza kupigana vita ngapi dhidi ya Mataifa mangapi?
Asada amepinduliwa kwa muungano wa USA ,France,UK, Turkey,Israel,saud Arabia na Some Arabs,vikundi vitatu vya waasi na hata baadhi ya wanajeshi wake hawakutaka kupigana safari hii Kwa moyo wote.sasa Urusi na Iran wanawezaje kukabiliana ana umoja wote huo wakati Urusi nae ana vita nyumbani kwake?
Nakuambia hivi,Hali hii hata Marekani asingeweza.
Urusi na Iran wamemlinda sana Assad sema basi TU.
Hata hivyo waliomuondoq wamevizia Urusi akiwa bize na vita yake.kabla ya hapo Assad alikua sana madarakani.
Huna lolote ujualo Dogo.Unapia kama nani. Achana na mihemko ya hovyo. Urusi ni supa pawa wa mchongo aka mandonga tu. Kama supa pawa anashindwaje kupigana pande zaidi ya moja. Huyo US yupo anamsaidia ukreine yupo anamsaidia israeli yupo kule taiwan yupo hapo mashariki ya kati kote sasa nihitimishe kusema tu RUSSIA wakienda man to man hamuwezi US kubali kataa
🤣Anaenda kupangiwa muda wa kuingia nyumbani,kula na anatakiwa kuomba ruhusa anapotaka kwenda kitaa huku akiwa ameweka mikono nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yule jamaaa ndio anajiona mchambuzi m'bobez i!!!!Assad ameenda zilipo asset zake kwa alichofanya its a nice move, hapo ME asingekuwa salama. UAE na Qatar hao ni vibaraka
Duuu chambuzi Bobezi jamaa unatia aibu kwasasa Russia na Iran ndik wanampigania miaka yate na uyo qHawa washamba tangu miaka ya 1950s wale Communist hardliners na moles wa Marekani na Uingereza walikuwa wakitoroka kwenda USSR kwanza airport wanapokelewa na vijakazi njaa hawana tittle yeyote serikalini. Pili hawapewi umuhimu wala kuwezeshwa kifedha. Ukarimu na wao ni maji na mafuta.
Yanukovich alikimbia na briefcases zimejaa dollars itakuwa walimuacha tu ajitegemee. Ila Assad kwenda Russia ni kuwa alikuwa na makosa mengi ya kibinadamu otherwise angekaa UAE au Qatar angeishi vizuri sana.
Umesema vyemaDuuu chambuzi Bobezi jamaa unatia aibu kwasasa Russia na Iran ndik wanampigania miaka yate na uyo q
Qatar na UAE ndio wanampinga miaka yote vip awaze kwenda kwa Adui yake. Iyo Vita Qatar ndio mfadhiri kupitia Uturuki sasa
ASSAD awaze kwenda kwa Adui. Maisha mazuri yapo Russia sio Qatar pungusha ushamba Russua uwe na pesa viwanja vipo mzee. Maisha ya russia ayawi promo na Media za West lkn kuna kilakitu utakacho
ni bora kuliko kuuawaKutoka kuishi kwake hadi kuishi kama kuku wa kufugwa