Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

I hope siku moja, hiki kilichompata Bashar Assad, kiwakute ma ccm,
VERY SOON KOSA MOJA TU LA KUMWACHA MJALAANA SAMIA BUSHIR KITINI KWA MIAKA 5 ZAIDI KITAONDOKA NA UHAI WA TAIFA NA CCM ....NI MANENO YA GENIUS OF ALL TIME
 
Endelea kuota, ni ndoto nzuri sana hiyo.
Kumbe zimekuwa ndoto tena? Hivi Hezbollah na kubwa la magaidi duniani( Jamhuri ya Kiislamu ya Iran) bado wana uwezo wa kuifuta Israel? Msaada plz
 
Jamaa Yuko Moscow tayari as a common man, hapa anaenda kutafuta kijiwe Cha gahawa!
Screenshot_20241209-133255.jpg
 
Kumbe zimekuwa ndoto tena? Hivi Hezbollah na kubwa la magaidi duniani( Jamhuri ya Kiislamu ya Iran) bado wana uwezo wa kuifuta Israel? Msaada plz
mnadanganywa hakuna muda mgumu kwa Israel kama kipindi hiki hali ni tete sana.
 
mnadanganywa hakuna muda mgumu kwa Israel kama kipindi hiki hali ni tete sana.
Wew upo Iraq au Jordan au Misri? hemu tujuze kinachoendelea huko. Vipi Iran bado ana mpango wa kulipa kisasi kwa Israel au amegaili?
 
Duuu chambuzi Bobezi jamaa unatia aibu kwasasa Russia na Iran ndik wanampigania miaka yate na uyo q
Qatar na UAE ndio wanampinga miaka yote vip awaze kwenda kwa Adui yake. Iyo Vita Qatar ndio mfadhiri kupitia Uturuki sasa
ASSAD awaze kwenda kwa Adui. Maisha mazuri yapo Russia sio Qatar pungusha ushamba Russua uwe na pesa viwanja vipo mzee. Maisha ya russia ayawi promo na Media za West lkn kuna kilakitu utakacho
Mbona mamilioni ya watu wanakimbilia west na hawaendi huko Russia kama ndiko kuna maisha mazuri na hata wewe tu hapo huwezi kwenda Russia hata iweje ila kwa west unatamani sema uwezo ndio huna.

Kumbuka kuna warusi zaidi ya milioni tatu wanaoishi nchini Marekani na hawana hamu ya kurejea Russia hata kama unawaua pia hali ni hiyohiyo kwa waarabu ambao wamehamia nchi za magharibi huwezi ukawarudisha tena uarabuni ambapo hamna uhuru na ambapo watu wanalazimishiwa uislam wakati wamechoka nayo.
 
Nani alikwambia Assad mkimbizi?

Yuko zake Moscow na mkewe watoto wanasoma China

Huyo mtu utamuita mkimbizi?
Sasa kwa nini asiishi Syria, kwa nini ameenda kuishi kwenye nchi ya watu. Tujibu hapo basi.
 
Waasi wanashidaje bila kuwa na ndege, na silaha bora? Assad ana kila kitu toka Urusi na Irani na bado kashindwa!!! 😏
Mkuu, ni kwamba, wananchi wako wakifika mwisho wa uvumilivu wa maovu na manyanyaso na wakati huo huo kukawa na genge la magaidi wana ishambulia serikali yao, basi ujue kwamba wananchi hao watalisapoti hio genge hadi kuuondoa huo utawala.
Ndio maana wananchi wa Syria wanafurahia kuondoka/kuamguka kwa Serikali yao.
 
Wew upo Iraq au Jordan au Misri? hemu tujuze kinachoendelea huko. Vipi Iran bado ana mpango wa kulipa kisasi kwa Israel au amegaili?
Iran inaboresha jeshi lake ....shamburio la Israel lilishindwa kwa asilimia 100
 
Russia wanafiki sana au Hawana Nguvu waliyokua wanatuambia Wanayo!!! Kila mahala Russia kavurugwa na hana msaada nchi zote ally wake zimechakazwa sanaa..Anzia Libya, Iraq,Syria, LEBANON imebakia Iran tu na Korea ambao naamini Wanazilia timing wazipige ....Ili Wamtese wamemweka yeye mwenyewe kati na kibaraka anaitwa Zelensky hivi kweli Russia wala KGB wameshindwa kumalizana na mtu kenge kama Zele??? Anaruka ruka pale wameshindwa kummaliza???
Naamini hata Iran na Hizbollah wameanguka kabisa kijeshi
Pale mrusi hapigani na ukraine pekee, kuna askari wa NATO ambao uwepo wao sio rasmi (hawatangazwi lakini wanakiwasha ile mbaya) nafikiri ndio wamemchelewesha na kwa sababu hiyo, anaweza kushindwa kufikia malengo.
Majeshi (special forces) ya USA na washirika, huwa ni wazuri sana kupigana behind the scenes.
 
Back
Top Bottom