Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

Bado ni rumors tu nisiulizwe

🛑 BREAKING: Bashar al-Assad has been killed when his plane was targeted by Israel last night — According to Baghdad Today quoting an informed source

Take this news with a grain of salt. Other sources say he’s in Russia and some say in the UAE.

@FotrosResistance
Hii yako ni outdated sana ndugu, tangu asubuhi sababu haikujulikana yuko wapi.
 
Kuna miaka ya nyuma nilijiuliza alikuwa na nguvu gani ya kiburi alichokiwa nacho kwa issue angeweza kuwa na kubadili

Sasa yamemkuta

Mkewe bado ni yule wa ulaya nchi nimesahau
Unaulizia mambo ya Assad..wakati majibu yako hapahapa.Jiulize kwani CCM wana nguvu gani ns kiburi gani?? Kwa nini wasiache uchaguzi uwe huru na haki, kwani hawaoni yaliyotokea Msumbiji, South Africa, kwani hawajifunzi kuwa upinzani unaweza kutawala kama Botswana, Zambia, na sasa Ghana.??
POWER CORRUPTS
 
Russia wanafiki sana
Naamini hata Iran na Hizbollah wameanguka kabisa kijeshi
Russia alikuwa analalamika Israel inaposhambulia wakati yeye ameweka mitambo yake ya ulinzi wa anga.
Wakakubaliana kwamba Israel ikitaka kushambulie sehemu yoyote yenye mitambo yake amwambie kabla ili aizime ndipo Israel ishambulie😀
 
Kuna miaka ya nyuma nilijiuliza alikuwa na nguvu gani ya kiburi alichokiwa nacho kwa issue angeweza kuwa na kubadili

Sasa yamemkuta

Mkewe bado ni yule wa ulaya nchi nimesahau
Hawana tofauti na ccm yako unayotetea.
 
Bado ni rumors tu nisiulizwe

🛑 BREAKING: Bashar al-Assad has been killed when his plane was targeted by Israel last night — According to Baghdad Today quoting an informed source

Take this news with a grain of salt. Other sources say he’s in Russia and some say in the UAE.

@FotrosResistance
Jamaa wameona asiwe mpweke huko uhamishoni wa muunganishe na wenzake akina sinwar,lsmail na Nasrallah huko peponi sio?
 
Urusi wakificha mtu hata ruhusa ya kutoka wala kuongea chochote huwa hawampi.

Tangu Yanukovich aende uko, hajawahi sikika hata akipiga chafya.
Mgeni wao wakampa temporary asylum na kumpeleka kuishi Rublyovka , lakini nyumba ya kuishi ilibidi mgeniajinunulie kwa pesa zake😀
 
Mgeni wao wakampa temporary asylum na kumpeleka kuishi Rublyovka microdistrict, lakini nyumba ya kuishi ilibidi mgeniajinunulie kwa pesa zake😀
Hawa washamba tangu miaka ya 1950s wale Communist hardliners na moles wa Marekani na Uingereza walikuwa wakitoroka kwenda USSR kwanza airport wanapokelewa na vijakazi njaa hawana tittle yeyote serikalini. Pili hawapewi umuhimu wala kuwezeshwa kifedha. Ukarimu na wao ni maji na mafuta.

Yanukovich alikimbia na briefcases zimejaa dollars itakuwa walimuacha tu ajitegemee. Ila Assad kwenda Russia ni kuwa alikuwa na makosa mengi ya kibinadamu otherwise angekaa UAE au Qatar angeishi vizuri sana.
 
Back
Top Bottom