MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.
Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini. Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.