Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.

Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.

Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini. Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Bilionea kaajili vijana bodaboda 150+!!
Ur fucking joking bigger!huyo alikuwa mjasiriamali tu!!
 
Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.

Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.

Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini. Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Mhhh em nione picha ake.
Lkn kwa nn nyakato Kuna matukio hivo?!
 
Kwa hesabu zangu uchwara za ki-motivesheno spika,jamaa huenda alikuwa bilionea[emoji23]

Piki piki moja ilete 50,000/= kwa siku,minimum amesema zipo 150,hivo jamaa.alikuwa anapata zaidi ya 7,500,000 kwa siku na kwa mwezi zaidi ya 225,000,000

[emoji23]Nitakuja baadae na hesabu za kuuza maindi mabichi
50k per day???????,chai ya moto hiyo
 
Acha roho mbaya.. Kuajiri watu 150 sio poa

Wewe unaweza kuta hata beki Tatu kumlipa huwezi laleq[emoji23][emoji23]
Unaposema nchini,hilo jambo lina upana wake, tajiri mkubwa Nyakato haina maana ni tajiri mkubwa nchini,tofautisha concept
 
Mzee bakhresa licha ya mali zote alizonazo ila bado hajafanikiwa kuwa declared kama bilionea,ila mwanza kuna mwana ana bodaboda na Mpesa tayari mshampa ubilionea,apumziks kwa amani marehemu bilionea
Nn tafsir ya bilionea kwa ufahamu wako!?
 
Hahaha umenikumbusha mbali sana ,mara ya mwisho kununua zile chapati za Azam ilikuwa kama 2009 ,wife zilimsumbua sana kuzichoma ndiyo ikawa mwisho kununua ,ila maandazi yapo nayaona kwenye maduka ya kawaida ,chapati mpaka supermarket na sijaenda kitambo kwassababu muda mwingi nipo porini nachoma mkaa so sijui kama bado zipo au lah.
Azam hauzi maandaz
 
Wahaya bwana !!!!
Nway poleni wafiwa.
Jamani tuoneane huruma...tusiuane kama wanyama...
 
Let say anamiliki hizo boda 150,kila boda kwa SIKU inamletea 10000...so kwa SIKU anapata 1500000..piga kwa mwaka mzima..duuuh,Jamaa anaweza kuwa bilionea hivi hivi mjue..
 
Back
Top Bottom