Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.
Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini.
Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Elezea kidogo kuhusu kifo chake mkuu.was it a hit au aliuwawa Katika tukio la uporaji
 
Basi kila mtu aanze kumpost Marehemu wake

?
Kwa hesabu zangu uchwara za ki-motivesheno spika,jamaa huenda alikuwa bilionea😂

Piki piki moja ilete 50,000/= kwa siku,minimum amesema zipo 150,hivo jamaa.alikuwa anapata zaidi ya 7,500,000 kwa siku na kwa mwezi zaidi ya 225,000,000

😂Nitakuja baadae na hesabu za kuuza maindi mabichi
 
Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.
Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini.
Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Dah
Mungu ampokee mja wake
 
Nyakato kwetu napo kuna matukio balaa hadi natamani nihamishe nyumba na wanangu
Mkuu,hivi viwanja vinapatikana maeneo hayo ? Na nikitaka kununua process ni zipi ? Sijawahi kununua kiwanja
 
Mzee bakhresa licha ya mali zote alizonazo ila bado hajafanikiwa kuwa declared kama bilionea,ila mwanza kuna mwana ana bodaboda na Mpesa tayari mshampa ubilionea,apumziks kwa amani marehemu bilionea
 
MMkuu elezea KWA urefu nasi watu wanaweza kujifunza kitu mkuu. Mfano vipi kuhusu motive ya wauaji? Walitumwa kulipa kisasi au ilikuwa ni vibaka tu wanataka hela? ( Watu wanasemaje? )

Alivamiwa saa nne mkuu
 
Back
Top Bottom