MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ni majambazi au!?Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.
Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini.
Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Unaeza tupa historia yake kidogo mkuu.Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.
Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini.
Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Bilionea[emoji848][emoji848][emoji848],anamiliki bodaboda na mpesa?? Kiweni serious na matumizi ya neno bilionea wasukuma,Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuwawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina.
Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa amefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 150 waendesha bodaboda, huku pia akiwa bado na shughulika na masuala ya uwakala wa fedha za mitandao ya simu.
Mwanza imepoteza kijana mchapakazi na mwajiri mkubwa nchini.
Mitaa daima itakukumbuka Bulugu.
Sasa mkuu, umechangia tu bila kusoma uzi, au ndo unaleta tu ujuaji usio na tija.Ndo Nani au kila Mtu mnampost tu hapa JF what ur target
Rip
Hatuwezi kumjua kwa majina tu labda Kama ameacha LegacySasa mkuu, umechangia tu bila kusoma uzi, au ndo unaleta tu ujuaji usio na tija.
Jamaa kaandika wasifu wa muhisika kwa majina yake yote mawili, ukazi wa muhanga na shughuli za kiuchumi anazofanya
Bro usilaum bure Tu.Sasa mkuu, umechangia tu bila kusoma uzi, au ndo unaleta tu ujuaji usio na tija.
Jamaa kaandika wasifu wa muhisika kwa majina yake yote mawili, ukazi wa muhanga na shughuli za kiuchumi anazofanya
Kwa nia njema tu. Bidaboda ndo kitu mkuu?Bilionea wa bidaboda 150
Huyo jamaa ameandika tanzia akisikitika kumpoteza mwana-nyakato, na pengine kuweza kufahamisha wana Nyakato-Sokoni waliomo katika platform hii, na ndo maana kaweka kila taarifa muhim kiutambulisho. Hajaonesha kuwa jamaa ni "public figure" kitaifa.Bro usilaum bure Tu.
Huyo marehem alikuwa public figure Kias cha kufahamika nchi nzima?
Ndiyo anakuwa bilionea?Sasa mkuu, umechangia tu bila kusoma uzi, au ndo unaleta tu ujuaji usio na tija.
Jamaa kaandika wasifu wa muhisika kwa majina yake yote mawili, ukazi wa muhanga na shughuli za kiuchumi anazofanya
Kwani imekatazwa mkuu?Basi kila mtu aanze kumpost Marehemu wake
?