Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

Safi sana watu wajinga wamejaa wivu hawajui thamani ya pikipiki 150 ni Milioni300+, je kipato Cha kila boda na muda wa umiliki, Bado Mpesa tigo, wakala wa mabenki, huyo hakukosa 3-5+ bilions nchii Ina maskini wa akili na kipato, wengi wanaotoka familia mbovu mbovu.

At the age of 12 years nilikuwa naachiwa fuko la hela milioni 5-10 nizipange kwa mafungu ya noti separately, ushamba watu hawazijui pesa
 
Ni washamba tu ndio hawataamini kuwa huyo Hayati alikuwa ni Billionaire
 
Kama Bakhresa anauza maandazi na ni bilionea ,why tubeze bilionea wa bodaboda?

M.A.P Bilionea TB
Dar mna enjoy sana ,mpaka maandazi ya Azam!!!, huku mikoani tunakula vitu hovyo maandazi ya dukani hayana mafuta na magumuu hata kama ni ya siku hiyo hiyo yameletwa

Vipi zile chapati za Azam bado zipo huko darisalama ?
 
Huyo jamaa ameandika tanzia akisikitika kumpoteza mwana-nyakato, na pengine kuweza kufahamisha wana Nyakato-Sokoni waliomo katika platform hii, na ndo maana kaweka kila taarifa muhim kiutambulisho. Hajaonesha kuwa jamaa ni "public figure" kitaifa.
Atakuwa alikuwa public figure kwenye vitongoji vya mwanza.
 
MMkuu elezea KWA urefu nasi watu wanaweza kujifunza kitu mkuu. Mfano vipi kuhusu motive ya wauaji? Walitumwa kulipa kisasi au ilikuwa ni vibaka tu wanataka hela? ( Watu wanasemaje? )
Word on the street walikuwa wezi wamekuja kumpora mkuu sio kisasi
 
Dar mna enjoy sana ,mpaka maandazi ya Azam!!!, huku mikoani tunakula vitu hovyo maandazi ya dukani hayana mafuta na magumuu hata kama ni ya siku hiyo hiyo yameletwa

Vipi zile chapati za Azam bado zipo huko darisalama ?

Hahaha umenikumbusha mbali sana ,mara ya mwisho kununua zile chapati za Azam ilikuwa kama 2009 ,wife zilimsumbua sana kuzichoma ndiyo ikawa mwisho kununua ,ila maandazi yapo nayaona kwenye maduka ya kawaida ,chapati mpaka supermarket na sijaenda kitambo kwassababu muda mwingi nipo porini nachoma mkaa so sijui kama bado zipo au lah.
 
Word on the street walikuwa wezi wamekuja kumpora mkuu sio kisasi
Dah inasikitisha sana so walifanikiwa kumpora? Alikufa on the spot au hospitali?.walikuwa na bunduki au mapanga?
 
Zile siku nikiishi dalisalama nita deal nazo naona kuna mashine siku hizi ya umeme inakaanga, mikoani tabu tupu ,kuna jamaa naona kajiongeza mtaani kwangu amefungua kiwanda cha mikate ile ya maziwa
 
Mkuu pikipiki inayoleta 50,000 kwa siku ni hela ya Tanzania au Zimbabwe?
 
Mwanza kuna watu kukutoa roho ni kawaida.
unakumbuka wale walimpiga risasi alikuwa sijui mkuu wa kituo mwanza miaka ya nyuma sana.
Nakumbuka tena kulikuwa na mchezaji wa zamani wa timu hizi kubwa ,alikuwa na demu wakamnyang'anya na simu.

 
Pumziko La Amani apate Mwendazake.

Ila ingependeza kama ungeelezea kwa kina kidogo yeye ni nani na ni nini kimemkuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…