Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majaji wabongo hapahapa. Namini hivyo.Majaji waliyokuwepo ni kutoka wapi
Ova
Huyu anatumiwa na mabeberu,sio 'mzarendoooooooo'.Mpaka wafatiliaji wa michezo wanakili tumepigwa japo tumeshinda[emoji3][emoji3]View attachment 1276728
Ushindi una maslahi mapana kwa taifaBadala ya kuwa john cena akawa usain bolt😀
Binafsi nimeshuhudia pambano tangu mwanzo mpaka mwisho. Mwakinyo amezidiwa pointi na Mfilipino. Mwakinyo kupewa ushindi siyo kweli Mfilipino alimzidi karibu kila raundi. Tuwe na haki pambano hili Mwakinyo ameshindwa kwa pointi ingawaje amejitahidi sana.
We jamaa wewe,sasa ulitaka asimame apigwe wakati miguu ya kukimbilia anayo ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameshinda kiana aina.......muda wote anakimbia kimbia tu
Ameshinda kiana aina.......muda wote anakimbia kimbia tu