Larson
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 212
- 156
Iwe Sawa Sawa kwa yule mwenye jazba na kutukana viongozi wa Serikali. Kidumu chama cha mapinduzi, Kidumu chama tawala.Iyo chopa ile mweleka tu jamaa akiwa ndani angani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe Sawa Sawa kwa yule mwenye jazba na kutukana viongozi wa Serikali. Kidumu chama cha mapinduzi, Kidumu chama tawala.Iyo chopa ile mweleka tu jamaa akiwa ndani angani
Life tuu hakuna analofanya. Limebaki Kujaza vyoo vya ikuluIwe Sawa Sawa kwa yule mwenye jazba na kutukana viongozi wa Serikali. Kidumu chama cha mapinduzi, Kidumu chama tawala.
Hapo ndipo Magufuli anapothibitisha wazi kabisa jinsi alivyoikwaa hii nafasi kimakosa.Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.Magufuli
Kwani kuna Rais yupi hapa Tz alikuwa anagawa vyakula kwa watu!? Ondoa akili utopolo hapa.hata rais awe vp hawezi kupa chakula cha kulea familia yako ndg..pambana kivyako mkuu mbona kuna watu wametusua ktk kipindi hichi... watu wanacholia liaa
Nawashangaa, yanapenda Uongo yan dahSi walisema wanaotumia chopa hawayaoni matatizo ya Wananchi kwa uhalisia?
Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake.
Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara maarufu Ndugu Simeon Nyachae.
Simon Nyachae, mwanasiasa wa County ya Kisii nchini Kenya, ni rafiki na mshirika pia wa Rais Magufuli, kwani hapo awali wakati wa Utawala wa Mwai Kibaki, Nyachae aliwahi kuhudumu kama Waziri wa barabara.
Wakati Muungano wa Rais Kibaki wa NARC ulipoanza kudhoofika kwenye uungwaji mkono, chama cha FORD-People cha Nyachae kikajiunga naye, na rais Mwai Kibaki akamteua Nyachae kama Waziri wa Nishati na baadae akampa kuwa waziri wa Barabara.
Nyachae alitajwa katika ripoti ya Waki kama mmoja wa wahusika wa vurugu za baada ya uchaguzi wa 2007-2008 ambapo zaidi ya watu 1,600 walifariki.
Aliaminika kupanga mashambulizi dhidi ya viongozi wa upinzani wa ODM.
Aligombea na kupoteza uchaguzi wa ubunge wa mwaka 2007.
Ujumbe wako sio Ndege ila ni kutaka kutuaminisha CCM wanashirikiana na wauaji ww unajihisi una akili kumbe UTOPOLOIli kupanda hii chopa, inabidi mazoezi ya nguvu yafanyike, utafikiri wanaenda kupigana mieleka kwenye kampeni.
View attachment 1575050
Ujumbe wako sio Ndege ila ni kutaka kutuaminisha CCM wanashirikiana na wauaji ww unajihisi una akili kumbe UTOPOLO