Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Iwe ni ukweli au uongo kila mtu ana maisha yake. Ukiangalia sana maisha ya watu utashindwa kuishi ya kwako.
Zaidi sana anatia vijana presha kutafuta hela wakati mwingine kwa njia zisizo halali na mwisho wake ni mbaya. Kuna watu siwezi kuwafuatilia kabisa simply kwa sababu hata sidhani kama anatoa mbwinu za kutafuta hela. Sanasana ni makelele ya kutafuta hela ambayo hayana maelekezo yaliyonyooka bali mafumbo yasiyokuwa na majibu.
Kama anatoa plan za kufanikiwa sawa lakini kama anabwabwaja kwamba 'tafuta hela' bhas abaki na utajiri wake.
 
Back
Top Bottom