Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hata mshamba utachoka tu na utakosa muda wa kufanya hivyo. Asilimia kubwa ni matapeli.Hivi huwa mnamchukulia serious huyo mtu? Mimi mtu akishaanza show off za hela kama sio tapeli basi ni mshamba.
Kabakia Dj ally b na miluzi yakeMambo ya mtandaoni ni fake fake tu
Wanaazima magari,majumba nk
Ova
iPhone ya kwanza kutoka 2008. Kwa iyo hilo gari imeizidi umri.Oya National Anthem role model wako mwenye Benz C Class ya 2007 kakamatwa huku.
Gari ina umri sawa na iPhone ya kwanza kutoka? Shit.
🤣🤣🤣iPhone ya kwanza kutoka 2008. Kwa iyo hilo gari imeizidi umri.
Kumbe alikuwa under arrest!?Update: Jamaa kakiri ni vimbao. Ila kasema pamoja na vimbao ila ndani ya nafsi yake ana amini yeye ni tajiri.
Fake it until u make it
Tena 2008 mwishoni huko enzi za rehema mwakangale wa ITV kabla hajafariki.
Umepatia kabisa anaweza kuwa ni yeye! 😀Si ajabu yupo Mpwayungu Village
🤣🤣🤣Tit for tatKama mlivyotapeli watu pale Jangid Plaza
I couldn't have said it better...Hata mshamba utachoka tu na utakosa muda wa kufanya hivyo. Asilimia kubwa ni matapeli.
By the way, long time no see. Is it well with you Khanifa?
Au kwenye gari sjui dashboard mtu anaweka mabulungutu ya pesa100%
Sijawahai muona tajiri anapiga keleleSijawahai muona tajiri anapiga kelele
Ova
Walikuwa na nyodo afu wakatuibia, wakaona hazitoshi wakaibiana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tit for tat
🤣🤣🤣Afu hajakujibuWalikuwa na nyodo afu wakatuibia, wakaona hazitoshi wakaibiana
AiSee... Thebold kakuruhusu urudi jf... baada tu ya kumuachisha mtoto kunyonyesha!? Karibu nifa...Hivi huwa mnamchukulia serious huyo mtu? Mimi mtu akishaanza show off za hela kama sio tapeli basi ni mshamba.