hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Au watibiwe na serekaliWakiumwa wanataka tuwachangie
Anaejihiita❎Huyu jamaa anaejihiita chief god love, kuna anaejua ukweli, namahanisha anapesa kweli.
KiongoziHakuna tajiri anayeendesha toyota huyo mganga njaa tu
Huyo ni MshangaziHii thd kama imeanzishwa na mdada basi ni jambo la kawaida ila kama imeanzishwa na mtu mwenye ndevu zake,basi inasikitisha sana.
Sio❎Tapeli tu huyo ukiwa na pesa sio vizuri kuzionesha na pesa sio kalio Kila mtu anazo Cc ephen_
Hiro❎Na hiro gari ni ra mama ako au
Sio❎Ana hela amekuzidi ila sio tajiri sn kama anavyotuaminisha..pengine tapeli wajinga waende inboc kwake wakapigwe
Hua❎Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tu
😆😆😆😆Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Huu ndiyo ukweli wenyeweSiku zote kwenye pesa hakunaga kelele note hilo.
Mkuu una tatizo Gani nitakusweka ignore listSio❎
Siyo ✅