Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kelele ni character ya mtu tu.. matajiri wanaotaka wajue kama wamefika wapooo. Baa utawaona kelele zao
Noma sana! Kumbe tumepitwa na mengi. Ilikuje kiongozi?Wewe ndo mpya, habari za zamani
sisi bado barbaric sn , kwamba mtu akijisifia ana hela bas hilo ni ttzo , hii ni ishara kuwa tuna jobless weng na badala ya tupambane twende juu ila sisi tunaangaika kujuana na maskin wenzetuChief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
mbona una panic , umaskin mbaya sana , unataman kusikia kuwa ni maskin kisa ww ni maskinWe Mke wake nini
ww una hela ya kukodisha gar?Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tu
Support no fugazi broHii thd kama imeanzishwa na mdada basi ni jambo la kawaida ila kama imeanzishwa na mtu mwenye ndevu zake,basi inasikitisha sana.
Tatizo anaonesha hela ila mishe za kupata hizo hela hana au hazioneshi , si ushoga huo[emoji23]Iwe ni ukweli au uongo kila mtu ana maisha yake. Ukiangalia sana maisha ya watu utashindwa kuishi ya kwako.
Zaidi sana anatia vijana presha kutafuta hela wakati mwingine kwa njia zisizo halali na mwisho wake ni mbaya. Kuna watu siwezi kuwafuatilia kabisa simply kwa sababu hata sidhani kama anatoa mbwinu za kutafuta hela. Sanasana ni makelele ya kutafuta hela ambayo hayana maelekezo yaliyonyooka bali mafumbo yasiyokuwa na majibu.
Kama anatoa plan za kufanikiwa sawa lakini kama anabwabwaja kwamba 'tafuta hela' bhas abaki na utajiri wake.
Nope hajashikwa isipokuwa tu amestukiwa na wana intaneti " the netizens" anajifanya ana hela anawatukana masikini kumbe anaweka elfu kumi juu ya vimbao na chini watu wakiona waone ana maburungutuSasa sielewi mtu kama anaigiza kwanini ashikwe?
Kwani alizitumia hizo pesa feki?
all these things zinahitaji pesa au mbona mnazungumza kama ni kitu kila mtu anaweza?Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tu
Kweli inazikitisha Bro, this shows how men wamekosa kazi,Hii thd kama imeanzishwa na mdada basi ni jambo la kawaida ila kama imeanzishwa na mtu mwenye ndevu zake,basi inasikitisha sana.
Bora wewe mimi sijawahi kuona tajiri anasambaza T-Shirt za kuuzaSijawahai muona tajiri anapiga kelele
Ova
I phone ya kwanza ilitoka 2007 mtu wa kwanza kumuona nayo alikuwa Dkt Charles KitwangaiPhone ya kwanza kutoka 2008. Kwa iyo hilo gari imeizidi umri.