Hatimaye Chris Brown kaweka wazi kuwa Member wa team KATAA NDOA

Hatimaye Chris Brown kaweka wazi kuwa Member wa team KATAA NDOA

Kijana wa kibongo ukipata hela oa fasta na zaa watoto wasiopungua watatu harakaharaka ili kama ndoa itavunjika tayari una watoto. Na huyo mama atabaki nunganyembe hakuna anayea jimama lenye watoto mzegazega apeleke wapi wakati baba yao yupo. Uaminifu umepungua sana wanawake wanaangalia maslahi tu
 
Huko tunako kwenda ndoa salama ni za watu wa jinsia moja.
Ndoa za mwanamke na wanaume tayari zimeisha angushwa na harakati za kila siku.
Feminist wamefanikiwa kupandikiza taswira mbaya juu ya NDOA.

Kiasi kwamba sasa hivi mwanaume kuoa ni kujitafutia matatizo ya kujitakia.

#Mwanaume Kaa mbali na ndoa kwa usalama wako
 
Kwa wenzetu ndoa ni biashara ndo maana wanaume weng wenye hela wanachukia ndoa sababu ikivunjika mwanamke anafaidi jasho lako 50/50
Huku kwetu nikiolewa na kapuku mwenzangu ndoa ikivunjika nabeba sandarus langu na watoto wangu kwaherii labda ubebe na bakuli ulizonunua
kama huna hela shoo hupati, utabaki na ugwadu mpaka upande kichwani uwehuke kizembe. Hakuna shoo za bure siku hizi, hata zile za kuokoteza mitaani na kwenye madanguro ni za kulipia. Wanakuambia huwezi kunichafua bure bila kunipa hela ya sabuni
 
Kwa wenzetu wa mbele ndoa ni mtego mkubwa Sana ukiingia kichwa kichwa lazima ujutie

Ila sisi acha tuendelee kugandana na hawa akina Mwajuma Ndala Ndefu hadi pale kifo kitakapoingilia kati
 
Unakubaliana na Chris Breezy?"

Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown

"Sidhani kama ndoa ina maana yoyote kwa wanaume. Mwanaume yeyote aliyeoa ni mtu aliyekwisha. Ninaelewa ndoa ni nini na ndio maana siwezi kuoa..

Ndoa ni mpango ambapo wanaume huingia kwa Mapenzi huku wanawake wakitafuta Pesa. Na mara tu mwanamke anapopata fursa, anakuacha, na kuondoka na 75% ya kila kitu ambacho umewahi kufanyia kazi. Kuwa katika mapenzi ni kitu ambacho wanaume pekee wanahisi kwa wanawake siku hizi. Wanawake wanahisi pesa tu. Nipo mahali katika maisha yangu ambapo watu pekee ninaowahitaji ni watoto wangu na mama yangu kwa maisha yangu yote. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu najua itaishia kwa mimi kuachana na kupoteza kila kitu nilichowahi kufanyia kazi maishani mwangu." Chris Brown

Siku hizi, Wanaume wanatafuta Upendo wa Kweli huku Wanawake wakitafuta Pesa ya Kweli.

Kwa asilimia kubwa naweza kuona jamaa yupo sahihi. Wanawake wengi wanaolewa kupata relief ya maisha wakati wanaume wanaingia kwa upendo, ila usije ukaomba mwanamke huyo ajipate. Hakuna milio itaacha kusikika. Team kataa ndoa wanazidi kujikwapulia wafuasi.

View attachment 3210095
Chris Breezy my role model ninayeshare naye birthday ( siku na mwezi)

Kama role model wangu anakaa ndoa mimi ni nani hata nioe akina Catherine nije nipigwe mabilioni yangu
 
Crisbrown na umaarufu wake akitaka demu yoyote yule anampata tena free na kwa mda wowote.Hawa wanawake wanavyo shobokea mastaa hamna wa kumchomolea Crisbrown tena wengi wanajipeleka wenyewe.
Usije Kushangaa Siku Unamwona Criss Na Yeye Anamtambulisha Mumewe.

Kunako Elekea Wakristo Watakuwa Hawaoi Hasa Magharibi Maana Kesi Ni Nyingi Tofauti Na Nchi Za Kiislamu.
 
Usije Kushangaa Siku Unamwona Criss Na Yeye Anamtambulisha Mumewe.

Kunako Elekea Wakristo Watakuwa Hawaoi Hasa Magharibi Maana Kesi Ni Nyingi Tofauti Na Nchi Za Kiislamu.
Crisbrown kwanza hana mikato hiyo.

Naona ushaelekeza hii maada kwemda ajenda za kidini, ww unazani waislam wa US wanatime na ndoa,kule mkiachana hawatizami sheria zenu za dini bali za nchi.
 
Back
Top Bottom