Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
๐๐๐kijana analala na dodoki ndani alafu anaogopa kuoa eti mke atamfilisi
Chumba stoo hadi fagio la nje limo ndani et sioni kama chriss brown ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐kijana analala na dodoki ndani alafu anaogopa kuoa eti mke atamfilisi
Hakuna DUNIANI Mwanaume Ambaye Anasuka Nywele, Anavaa Hereni, Anajichora Matatoo Mpaka Shingoni Alafu Akakosa Wazo La Kutamani HATA Kwa Siku Moja Kuonjwa Walau Mara Moja Kwenye Maisha Yake Fanya Uchunguzi.Crisbrown kwanza hana mikato hiyo.
Naona ushaelekeza hii maada kwemda ajenda za kidini, ww unazani waislam wa US wanatime na ndoa,kule mkiachana hawatizami sheria zenu za dini bali za nchi.
Kuna wamasai wanasuka au hawa hawaishi duniani? Kuna wale wabrazil wanaishi misitu ya Amazon huko wanatoga masikio na kujichora vip hawa wote wanaonjwa?NBA kuna lundo la wachezaji kibao wanasuka na wanavaa heleni, sijawahi kusikia upuuzi.Hakuna DUNIANI Mwanaume Ambaye Anasuka Nywele, Anavaa Hereni, Anajichora Matatoo Mpaka Shingoni Alafu Akakosa Wazo La Kutamani HATA Kwa Siku Moja Kuonjwa Walau Mara Moja Kwenye Maisha Yake Fanya Uchunguzi.
Na Kuhusu Dini Wala Sijakurupuka Wote Habari Zao Za Kuachana Zinazotolewa Kwenye Vyombo Vya Habari Ni Ndoa Za Kanisani Sasa Ili Nionekane Nimekosea Wewe Leta Ushahidi Wa Kuvunjika Kwa Ndoa Za Waislam Wa Huko Americano Na Sehemu Nyingie Zinazo Julikana.
Eti shoo ya bure Kodi ya meza plus kumtunza huyo demu wako sio garamaAna hoja, vipi akitaka shoo atakuwa anapiga na kuacha akimaliza? Watu tunaoa kwa ajili ya kupata shoo ya bure muda wowote ukitaka