kama huna hela shoo hupati, utabaki na ugwadu mpaka upande kichwani uwehuke kizembe. Hakuna shoo za bure siku hizi, hata zile za kuokoteza mitaani na kwenye madanguro ni za kulipia. Wanakuambia huwezi kunichafua bure bila kunipa hela ya sabuniKwa wenzetu ndoa ni biashara ndo maana wanaume weng wenye hela wanachukia ndoa sababu ikivunjika mwanamke anafaidi jasho lako 50/50
Huku kwetu nikiolewa na kapuku mwenzangu ndoa ikivunjika nabeba sandarus langu na watoto wangu kwaherii labda ubebe na bakuli ulizonunua
Wewe oa uendelee kula mbususu ya bureAna hoja, vipi akitaka shoo atakuwa anapiga na kuacha akimaliza? Watu tunaoa kwa ajili ya kupata shoo ya bure muda wowote ukitaka
Aisee π€Pep Guardiola mkewe kadai talaka mahakamani kisa mumewe yupo busy na kazi
Halafu hapo hapo anataka wagawane mali ambazo zinatokana na KAZI anayoilalamikia
Wanaume hatupumziki mpaka tunakufa
Wewe ni masikiniAna hoja, vipi akitaka shoo atakuwa anapiga na kuacha akimaliza? Watu tunaoa kwa ajili ya kupata shoo ya bure muda wowote ukitaka
Chris Breezy my role model ninayeshare naye birthday ( siku na mwezi)Unakubaliana na Chris Breezy?"
Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown
"Sidhani kama ndoa ina maana yoyote kwa wanaume. Mwanaume yeyote aliyeoa ni mtu aliyekwisha. Ninaelewa ndoa ni nini na ndio maana siwezi kuoa..
Ndoa ni mpango ambapo wanaume huingia kwa Mapenzi huku wanawake wakitafuta Pesa. Na mara tu mwanamke anapopata fursa, anakuacha, na kuondoka na 75% ya kila kitu ambacho umewahi kufanyia kazi. Kuwa katika mapenzi ni kitu ambacho wanaume pekee wanahisi kwa wanawake siku hizi. Wanawake wanahisi pesa tu. Nipo mahali katika maisha yangu ambapo watu pekee ninaowahitaji ni watoto wangu na mama yangu kwa maisha yangu yote. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu najua itaishia kwa mimi kuachana na kupoteza kila kitu nilichowahi kufanyia kazi maishani mwangu." Chris Brown
Siku hizi, Wanaume wanatafuta Upendo wa Kweli huku Wanawake wakitafuta Pesa ya Kweli.
Kwa asilimia kubwa naweza kuona jamaa yupo sahihi. Wanawake wengi wanaolewa kupata relief ya maisha wakati wanaume wanaingia kwa upendo, ila usije ukaomba mwanamke huyo ajipate. Hakuna milio itaacha kusikika. Team kataa ndoa wanazidi kujikwapulia wafuasi.
View attachment 3210095
Usije Kushangaa Siku Unamwona Criss Na Yeye Anamtambulisha Mumewe.Crisbrown na umaarufu wake akitaka demu yoyote yule anampata tena free na kwa mda wowote.Hawa wanawake wanavyo shobokea mastaa hamna wa kumchomolea Crisbrown tena wengi wanajipeleka wenyewe.
Crisbrown kwanza hana mikato hiyo.Usije Kushangaa Siku Unamwona Criss Na Yeye Anamtambulisha Mumewe.
Kunako Elekea Wakristo Watakuwa Hawaoi Hasa Magharibi Maana Kesi Ni Nyingi Tofauti Na Nchi Za Kiislamu.
Ila watu mna majibu ya hovyo sana πππππππππππππππππNi chris brown sio mwambonde wa uyole
Kesho uje kisutu ukiwa na mwanasheria wako uje unilipeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sasa nyie mnajufananisha na chriss brown ππ
Mnaogopa kugawana na wakezenu hizo baiskeli zenu baada ya talaka au ππ