Hatimaye Chris Brown kaweka wazi kuwa Member wa team KATAA NDOA

vijana wakitanzania kwa kujazana ujinga sasa kijana una sabufa na jaba ndani unaogoga eti mke atakuja kukufilisi mali zako kweli..., acheni ujinga vijanπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†a oeni msaidiane kunasuka kwenye lindi la umasikini
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Kesho uje kisutu ukiwa na mwanasheria wako uje unilipe🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€Mwanasheria ninae na ninatamba naeπŸ˜€πŸ˜€
 
Ndoa inahitaji kiongozi (mume) bora! Kwa kauli hiyo chriss brown unaonekana hujui kuongoza mambo!
 
Kavurugwa
 
aisee futa hayo mawazo kijana wangu huo ni umri wa kufikiria kuwa na familia ikibidi kuwa na urafiki na watu waliokuzidi umri mara mbili yako wakushauri yalio ya msingi kiuchumi na kimaisha
Daah umeandika kama mzee wangu basi ntafanya hivyo huenda nikaona umhimu
 
Seen
 
Ana hoja, vipi akitaka shoo atakuwa anapiga na kuacha akimaliza? Watu tunaoa kwa ajili ya kupata shoo ya bure muda wowote ukitaka
Kama lengo lako ndio hilo usioe🀣 utaishia kuwa very dissapointed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…