Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Unadhani "UTEUZI " ni jambo baya?

Yani kila anayemtetea Mhe Rais basi anataka uteuzi, shame on you
Labda kwa Nchi zenye watu wanaojielewa maana uteuzi unaupata labda kwa qualifications uliyonayo hapa bongo uteuzi unaupata kwa kumuabudu mteuaji tu Sasa Kuna maana yoyote?
 
Kwamba upinzani tupa kuleπŸ˜‚
 
Kwa hiyo yote hayo kafanya Samia ndani ya mwaka mmoja?
 
Pamoja na hayo yote katumbuliwa
Lazima asifie anaweza kukumbukwa siku zijazo
 
Kafulila Ni mchumia tumbo tuu.. alichokuala kimemtosha apishe wengine. Sipendi kiongozi anayependa kusifia tuuu, ujue mwizi au ajiamini ktk nafasi yake. Muda SI mrefu utamwona ktk matv kumsifia mama. Mama apendi kusifiwa anataka kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…