Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa.
Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha.
Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe kuuubwa mnamo Septemba 30, 2018 >> Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo