Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

Hapa tunaweza mjomba nchumali amalize tatizo la mwanae pawula kama anamtia ndani mkwe wake tuelewe, Au Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Tunaomba 'Caption' tafadhali...... . . - YesMajizzoNaLulu @majizzo @elizabethmich ( 426 X 640 ).jpg
MAJIZZO NA LULU WAFUNGA NDOA_   _Hii leo mkurugenzi wa @efmtanzania - majizzo ame ( 427 X 640 ).jpg


Hawa vijana hii ndoa yao imepitia mengi huku wanasiasa wakiitumia kupata umaarufu lakini hatimaye imefungwa leo japo kimkanda mkanda

Majizo ambaye ni DJ wa zamani wa Maisha Club akiwa bingwa wa Scratch jijini DSM pia anatajwa kama mmiliki wa TV E na EFM za Tanzania, amekuwa na uhusiano wa muda mrefu na Lulu aliyetajwa kuhusika na kifo cha Kanumba.

Tunawatakia maisha mema katika ndoa yao
 
Mniombee na mimi nataka kutia nia kwa Mh. DC mmojawapo na mrembo sana wa moja ya Wilaya za Mkoa jirani na Jiji maarufu nchini.

Mtihani utakuwa pale tu nitakapo takiwa kuwa kada wa kile chama kikongwe na nisicho kipenda kutoka moyoni.

Hakika Ndoa ni tamu sana hasa pale unapofanikiwa kumpata 'Mpenzi na Rafiki wa kweli wa Maisha yako'🥰
 
Back
Top Bottom