Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa.

Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha.





Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe kuuubwa mnamo Septemba 30, 2018 >> Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…