Hatimaye FRELIMO iko matatani, mwisho wake umefika!

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
 
Tokea wamnyime nyadhifa gani sijui pale jijini halaf wakaja wakafuta matokeo wakamrejeshea nyadhifa yake lile lilikua kosa la kimkakati tayari jamaa kaishaona sirikali haina msimamo na inatetemeka kirahisi sasa na urahisi watautoa tu ni suala la muda tu
 
Jzui wamesimamshaaa malori yanapeleka makaa ya mawe nje jamaaa konyoo nampenda anajiamini siku 3 gov hoi

Kuna kuchokqa na kuchoshanqa

Ameshauriwa akae naee waunde serikali ya mpito kagoma

Watavuna walichopanda
 
Yaani mi
Hapa tunazungumzia kwa jirani bro.. Jirani mwenye ukaribu sana na ccm😀
Yaani kila mwananchi kawageuka,maana hii inchi maisha ni magumu sana lakini Viongozi wanaishi kama wako peponi,huduma ya Afya mbaya,Elimu ndiyo usisema kama siyo mwanachama wa Frelimo huwezi kupata kazi labda uhonge
Naona wanavuna walichokipanda kila mtu hawapende ingawa ni ngumu kwa sisi wageni hatujui hatima yetu itakuwaje maana walikuwa wanatubeba sana
 
Msumbiji ni moja ya nchi tatu masikini zaidi duniani.Hao FRELIMO uongozi na maendeleo vimewashinda kabisa huko.Wakae pembeni.
Tatizo wanapenda sana rushwa na wavivu.kuna sehemu ndani ya Mozambique inatumika shilingi ya Tanzania na wanaongea kiswahili na kalibu raia wa maeneo husika ni wa makabila tofautitofauti kutoka Tanzania
Yaani unakutana na wachimbaji madini, wanunuzi wa dhahabu mama ntilie mpaka machangudoa,lakini wao wako kimya wanachoitaji mnawapa rushwa na maisha yanaendelea na hayo maneneo yako poa yanahuduma zote
 
H
Hapa ndo mjue siasa za ki Frica ni upuuzi sentence ina sema hivi kiongozi wa upinzani anaamulu maandamano huku akuwa mafichoni alikokimbilia baada ya kuuawa kwa aliyekuwa mqasheria wake maana yake yeye anapenda kuishi ataki kufa au kuumizwa kulemazwa lkn anaotaka kuwatawala ana waamulu waandamane ili??alafu wakifanikisha hayo maandamano kwa kuumizwa na kulemazwa atakuja kumtawala Nani? Na kwanini nayeye asije kuandamana Kama watu wengine Kama akiumizwa ionekane kaumizwa au kafa kwa kutetea haki za watu wake?
 
Lakin suluhisho ni lipi huko Msumbiji?je wataenda Kwa second run off au nini kitatokea?
 
Kuna baadhi ya vyama vinavyojiita vya ukombozi Africa sasa hivi vimepoteza mvuto kwa sababu ya kutizingatia matakwa ya wananchi wao. Tuna ka kujifunza kama tunataka kuendelea kuishi kwa amani na upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…