Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunazungumzia kwa jirani bro.. Jirani mwenye ukaribu sana na ccm😀Hata Mackron alikutana na maandamano!
Vyama vya Ukombozi vimegeuka kuwa Vyama vya Mauaji ya WananchiVyama vya ukombozi vimegeuka vyama vya kiimla..
Punguza kisukari KWaafrika wengi ni manyani
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba huyu kiongozi wa upinzani ndiye mwenye nguvu na sauti kuliko serikali; yeye ndiye anayeamuru nini kifanyike. Anaratibu maandamano akiwa mafichoni, baada ya kukimbia nchi kufuatia mauaji ya wakili wake.
Hali si shwali. Mfano jana, ameamrisha kufanyika maandamano kwa siku tatu bila kupumzika, akilenga bandari kufungwa pamoja na mipaka. Kumeitikiwa kwa muitikio mkubwa katika miji yote mikubwa ya Maputo, Beira, na Nampula pamoja na miji mingine midogo, huku karibu watu 40 wakiwa wameuwawa na polisi.
Inchi inaongozwa na mtu aliyeko mafichoni, huku Rais Nyusi akiwa hana sauti. Ukiona mwenzako ananyolewa.
Soma, Pia: Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?
Jzui wamesimamshaaa malori yanapeleka makaa ya mawe nje jamaaa konyoo nampenda anajiamini siku 3 gov hoiKwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba huyu kiongozi wa upinzani ndiye mwenye nguvu na sauti kuliko serikali; yeye ndiye anayeamuru nini kifanyike. Anaratibu maandamano akiwa mafichoni, baada ya kukimbia nchi kufuatia mauaji ya wakili wake.
Hali si shwali. Mfano jana, ameamrisha kufanyika maandamano kwa siku tatu bila kupumzika, akilenga bandari kufungwa pamoja na mipaka. Kumeitikiwa kwa muitikio mkubwa katika miji yote mikubwa ya Maputo, Beira, na Nampula pamoja na miji mingine midogo, huku karibu watu 40 wakiwa wameuwawa na polisi.
Inchi inaongozwa na mtu aliyeko mafichoni, huku Rais Nyusi akiwa hana sauti. Ukiona mwenzako ananyolewa.
Soma, Pia: Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?
Wale magaifi watamchekecha mpaka basi juzi wameanza kuchoma magari shemeji yenu kakoswa koswa sina hamu napanga aje tu darMsumbiji ni moja ya nchi tatu masikini zaidi duniani.Hao FRELIMO uongozi na maendeleo vimewashinda kabisa huko.Wakae pembeni.
Yaani kila mwananchi kawageuka,maana hii inchi maisha ni magumu sana lakini Viongozi wanaishi kama wako peponi,huduma ya Afya mbaya,Elimu ndiyo usisema kama siyo mwanachama wa Frelimo huwezi kupata kazi labda uhongeHapa tunazungumzia kwa jirani bro.. Jirani mwenye ukaribu sana na ccm😀
Tatizo wanapenda sana rushwa na wavivu.kuna sehemu ndani ya Mozambique inatumika shilingi ya Tanzania na wanaongea kiswahili na kalibu raia wa maeneo husika ni wa makabila tofautitofauti kutoka TanzaniaMsumbiji ni moja ya nchi tatu masikini zaidi duniani.Hao FRELIMO uongozi na maendeleo vimewashinda kabisa huko.Wakae pembeni.
Tatizo la Tanzania CCM inaongoza maiti,ukitaka kujua watu wanajitambua ni kama huku Mozambique watu wanaimba wanakwambia hatuwezi kuwa wapangaji ndani ya inchi yetuCcm your the next nakwambia nimekaa pale.
Hapa ndo mjue siasa za ki Frica ni upuuzi sentence ina sema hivi kiongozi wa upinzani anaamulu maandamano huku akuwa mafichoni alikokimbilia baada ya kuuawa kwa aliyekuwa mqasheria wake maana yake yeye anapenda kuishi ataki kufa au kuumizwa kulemazwa lkn anaotaka kuwatawala ana waamulu waandamane ili??alafu wakifanikisha hayo maandamano kwa kuumizwa na kulemazwa atakuja kumtawala Nani? Na kwanini nayeye asije kuandamana Kama watu wengine Kama akiumizwa ionekane kaumizwa au kafa kwa kutetea haki za watu wake?Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba huyu kiongozi wa upinzani ndiye mwenye nguvu na sauti kuliko serikali; yeye ndiye anayeamuru nini kifanyike. Anaratibu maandamano akiwa mafichoni, baada ya kukimbia nchi kufuatia mauaji ya wakili wake.
Hali si shwali. Mfano jana, ameamrisha kufanyika maandamano kwa siku tatu bila kupumzika, akilenga bandari kufungwa pamoja na mipaka. Kumeitikiwa kwa muitikio mkubwa katika miji yote mikubwa ya Maputo, Beira, na Nampula pamoja na miji mingine midogo, huku karibu watu 40 wakiwa wameuwawa na polisi.
Inchi inaongozwa na mtu aliyeko mafichoni, huku Rais Nyusi akiwa hana sauti. Ukiona mwenzako ananyolewa.
Soma, Pia: Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?
Mkuu nakwambia maiti ipo siku itapiga chafya.Tatizo la Tanzania CCM inaongoza maiti,ukitaka kujua watu wanajitambua ni kama huku Mozambique watu wanaimba wanakwambia hatuwezi kuwa wapangaji ndani ya inchi yetu
Nimeamini nguvu ya uma wakiamua hakuna lisiloshindikana
Sio vya kiimla tu bali vya kikoloni kabisa yale yale waliyo yapinga wao ndio wanayo yafanya.Vyama vya ukombozi vimegeuka vyama vya kiimla..
Lakin suluhisho ni lipi huko Msumbiji?je wataenda Kwa second run off au nini kitatokea?Yaani Frelimo ndiyo basi tena,Mungu atuepushe waache kiburi ili kunusuru maisha ya wanaichi,
Viongozi wamejifungia ndani wamebaki kuwatuma polisi kwenda kupiga raia,lakini polisi bado wao kwa wao wanasigana wengine wanasema hawa raia tunaowauwa tunaishi nao na ni ndugu zetu itakuwaje tukiludi majumbani kwetu?
Baadhi ya raia wanawanoti polisi wanaouwa waandamanaji na wanawafwata majumbani kwao kwenda kuwachomea nyumba zao,yaani yanayoendelea huku yanatisha
Kuna baadhi ya vyama vinavyojiita vya ukombozi Africa sasa hivi vimepoteza mvuto kwa sababu ya kutizingatia matakwa ya wananchi wao. Tuna ka kujifunza kama tunataka kuendelea kuishi kwa amani na upendo.Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane.