Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM itapasuka kama bomu maana upinzani kwa Sasa uko ndani ya CCM hapa ni swala la mda mchache tuu maana ndani kulisharushwa kombora la upinzaniKANU, ANC ,FRELIMO SASA BADO CCM
Wengine wana watu ktk nchi zao, Tz sie ni mizoga inayopumuAKwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba huyu kiongozi wa upinzani ndiye mwenye nguvu na sauti kuliko serikali; yeye ndiye anayeamuru nini kifanyike. Anaratibu maandamano akiwa mafichoni, baada ya kukimbia nchi kufuatia mauaji ya wakili wake.
Hali si shwali. Mfano jana, ameamrisha kufanyika maandamano kwa siku tatu bila kupumzika, akilenga bandari kufungwa pamoja na mipaka. Kumeitikiwa kwa muitikio mkubwa katika miji yote mikubwa ya Maputo, Beira, na Nampula pamoja na miji mingine midogo, huku karibu watu 40 wakiwa wameuwawa na polisi.
Inchi inaongozwa na mtu aliyeko mafichoni, huku Rais Nyusi akiwa hana sauti. Ukiona mwenzako ananyolewa.
Soma, Pia: Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?
Umetumia upeo wa chini sana wa uelewaH
Hapa ndo mjue siasa za ki Frica ni upuuzi sentence ina sema hivi kiongozi wa upinzani anaamulu maandamano huku akuwa mafichoni alikokimbilia baada ya kuuawa kwa aliyekuwa mqasheria wake maana yake yeye anapenda kuishi ataki kufa au kuumizwa kulemazwa lkn anaotaka kuwatawala ana waamulu waandamane ili??alafu wakifanikisha hayo maandamano kwa kuumizwa na kulemazwa atakuja kumtawala Nani? Na kwanini nayeye asije kuandamana Kama watu wengine Kama akiumizwa ionekane kaumizwa au kafa kwa kutetea haki za watu wake?
Hapana mkuu, Watanzania ni wafu waliokufa tena.Wengine wana watu ktk nchi zao, Tz sie ni mizoga inayopumuA
Akilo mfu za mi ccm utazijua tuH
Hapa ndo mjue siasa za ki Frica ni upuuzi sentence ina sema hivi kiongozi wa upinzani anaamulu maandamano huku akuwa mafichoni alikokimbilia baada ya kuuawa kwa aliyekuwa mqasheria wake maana yake yeye anapenda kuishi ataki kufa au kuumizwa kulemazwa lkn anaotaka kuwatawala ana waamulu waandamane ili??alafu wakifanikisha hayo maandamano kwa kuumizwa na kulemazwa atakuja kumtawala Nani? Na kwanini nayeye asije kuandamana Kama watu wengine Kama akiumizwa ionekane kaumizwa au kafa kwa kutetea haki za watu wake?
Subiri ufufuo wa gwajiboy 😁😁Hapana mkuu, Watanzania ni wafu waliokufa tena.
Yani ni wafu na hao wafu wakafa kifo kingine..
Tunahitaji fufup 2
Huo huwezi kumfufua Mtanzania, Gwajiboy naye mfu wa mara yab2 piaSubiri ufufuo wa gwajiboy 😁😁
Watu wa kawe wana iman nae, wataruka nae mpaka mbili 30.Huo huwezi kumfufua Mtanzania, Gwajiboy naye mfu wa mara yab2 pia
Aaah wapi, hawajapelekwa Marekani na sanii la wasanii Gwajiboy a.k.a kiuno kigumu🤣Watu wa kawe wana iman nae, wataruka nae mpaka mbili 30.