Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

So unataka kusema hata wazazi wako hawaishi pamoja? Hawakuoana?
I would appreciate kama utaachana na suala la wazazi... uliza au hoji lolote kuhusu mimi na suala zima la kuoa! Ungeendelea kuwahusisha wazazi endapo ningesema wamenikataza kuoa lakini nimesema hawajawahi kuniuliza wala kunihimiza! They're smart, they know mimi ni mtu mzima mwenye akili zangu! They know I know what's best for me! Unamhimiza vipi mtu mzima afanye jambo as if ni mtoto mdogo?! Enh, halafu huko makwenu, mkishahimizwa ndo tayaari mnaanza kutafuta mke hata kama mlikuwa hamjakusudia?!
 
Umenena kweli asee,but am not sure km unafikiria sawasawa and from which perspective,na km ujaweza kujifunza chochote kutokana na watu walioa then unaserious problem ya kujifunza na kuelewa! hata vitabu vinasema ukioa mwanamke Mungu anakupa upendeleo/favour kwy mambo mengi!
 
How old are you?? Na ulisoma shule zipi tuanzie hapo? Km wazazi hawajawahi kukuona na msichana hata mara moja,au ukibadilisha mara kwa mara don't expect wakuambie uoe cz it's either hapo assured km walizaa mtoto wakiume rijali or umebadilika na kua naniiii....and they can't ask you as they feel ashemed!
 
Rejea kwenye kauli yako hii "there's nothing to learn toka kwa walio oa mana....ndomana nikakuuliza swali kama hilo,vilevile unapozungumzia watu wanao oa na walio oa usifanye majumuisho ili wote waonekane wabaya na tambua kila mtu ana tabia yake tokana na alivyolelewa na mazingira aliyokulia na wazazi hawakulazimishi uoe mtu fulani bali kukuhusia kuwa sasa ni vizuri Ukawa kwenye ndoa kuepuka baadhi ya mambo ambayo ukifanya kwa jamii inayokuzunguka unakuwa unawatia aibu mana hata wewe unaesema huoni umuhimu wa ndoa najua upo kwenye mahusiano/una mchumba na huwezi nambia upo nae kwenye mahusiano karibia mwaka wa 6 -10 afu unajisikia poa tu na mwenzio anajisikia vizuri.
 
Nilitarajia ungetaja basi hayo ya kujifunza! Binafsi, siyaoni manake matendo ya waliooa na wasiooa yanafanana! Mbaya zaidi, mmoja anafanya matendo ya kifedhuli wakati anataka kuiaminisha jamii kwamba yeye ni wa kupigiwa mfano!
 
Umemaliza kila kitu..mi na jamaa angu alikuwa mbishi hivihivi ila binti wa watu anaishi nae wala wazazi wa binti hawamjui na hajawahi enda kuonekana bahati mbaya binti aliugua katika kuhangaika kumuuguza ikashindikana akafariki ubaya ulikuwa jinsi ya kupeleka maiti kwa familia ya binti...wazee wa binti walikomaa wakasema ili kukubali itabidi uitolee mahari hi maiti na faini juu ndo tunazika...baadae akawa anajilaumu bora ningeoa na ningeonekana mana aibu ile isingempata
 
Bado narudia, there's nothing to learn! Hoja yako ni hii hapa:
Wazazi wako hawakutakii mema ujue kuna wakati maisha ya kisela kwako inabidi yabaki historia ukioa unajifunza mengi sana katika maisha ukijumlisha pamoja na majukumu ya kuwa na familia
Kwa kauli yako hiyo ni kana kwamba ukishaoa unakuwa mweledi wa mambo... hapo pia ume-generalize! Ndipo nikakuambia there's nothing to learn cuz', kama issue ni majukumu ya kuwa na familia, kuna familia nyingi sana, tena sana ambazo zipo shaghalabaghala wakati na wenyewe wapo kwenye ndoa!! Hilo darasa wao limewapita wapi? Ulitakiwa ukishaoa uache uzinzi... lakini nao ni wazinzi wa kutupwa as if hawana wenza huko nyumbani... sasa unajifunza nini hapo? Mimi nisiyeona nikipiga mimba nakimbia; na hata hao waliooa kila siku wanazikimbia mimba walizozipiga wakiwa na akili timamu kabisa... halafu bado mtu useme kuna la kujifunza kwenye kuoa?! Kipi ambacho majority ya bechelors wanafanya ambacho majority ya wanandoa hawafanyi?!
 
 
Maajabu ya watu walio kwenye ndoa haya!! Kumbe huko kujifunza mnakosema ndo huko... kwamba, kumbe masuala ua ndoa nayo yanahusiana na elimu ya mtu?! Kumbe ya kujifunza kutoka kwa wenye ndoa ndo hayo ya kuonea fahari kuonekana na msichana? Kumbe ya kujifunza kutoka kwa webye ndoa ndo hayo ya kuwa na lugha za matusi kiasi cha kufikiria wengine ni mahanisi?! Kama wanandoa wenyewe ndo mpo hivi; am very sorry kwa wenza wenu manake bora wangebaki peke yao kuliko kuwa na mahusiano na watu wasio na staha! Na ikiwa mwanandoa mwenyewe ndo wewe, ndo kabisa hata mdogo wangu wa darasa nne hana cha kujifunza toka kwako kv una sifa zote za kuwa worst parent/wife! Badala ya kujibu hoja, unaanza kutoa lugha za kuchukiza halafu unataka mtu ajifunze toka kwako... so funny!
 
Nyie hao wanawake wa kuoa huwa manawapata wapi?...mbon mm siwaonagi maana wajanja wajanja sana siku hz.
 
maskini bbabraa daah! hivi inakuaje lakini kuacha mtu uliyekuwa nae kitambo kirefu?
 
Awe makini maana jamaa siku hizi wanakamsemo kao eti Wanakulaga tu Hainaga ushemeji.
 
Wewe umeongelea ndoa kwa ujumla kuwa kuingia kwenye ndoa ni kuingia kwenye timu ya mafedhuli, hivyo usilalamike wakihusisha ndoa ya wazazi wako pia unless utuambia wewe ni mtoto wa nje ya ndoa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…