Nilitarajia ungetaja basi hayo ya kujifunza! Binafsi, siyaoni manake matendo ya waliooa na wasiooa yanafanana! Mbaya zaidi, mmoja anafanya matendo ya kifedhuli wakati anataka kuiaminisha jamii kwamba yeye ni wa kupigiwa mfano![/QUOTE
Then itakua ngumu hata tukikuambia ujifunze cz ushalimit your brain to learn from marriage etc! Kumbuka everything start with your thinking(brain).Ofcz matendo it's just a small part na mostly likely inatokana na tabia ya mtu,malezi,makundi but I can tell you kuna wanawake very material na ukimpata uyo life inakua very simplified,happy,una enjoy your good life,stress free yani! Makwazo madogo2 yapo tu we human abeing not angel!so usiogope try to learn good thing from them u will eventually get something!