Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .

Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini.

Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati kama Bugati kapagawa mpaka anatangaza ndoa 😂😂😂😂😂😂😂sisi yetu macho bwana.

Tunangojea mualiko twende tukale ubwabwa huku tunaweka notification on maana lolote linaweza kutokea kati yao maana wamekutana pipa na mfuniko halafu wote wapenda kiki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View attachment 2839517


Ila JB naye mnafki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

View attachment 2839520View attachment 2839524
Wasanii ni watu wa kutafuta kick tu, kwani ni mara ya kwanza kwa Haji kuongea utumbo? Tatizo ni kuwa jamii ya Kitanzania ni ya kijinga sana, watu wanapenda ujinga zaidi ya vitu vya maana. Shule ni muhimu sana jamani.
 
Kelele zote za manara akipiga tako 3 kishamwaga.,
Baada ya hapo vyombo havipigi tena muzic hadi baada ya week..
Ana kazi ya kuwaolea wenzie.

Ndoa inataka uvunje kazi ufanye kazi ili kudumisha ndoa yako.

Kama hyo ndoa itavuka mwaka 1 haijavunjika nipigwe ban humu ndani milele
 
Uzuri ni kwamba hata akitaka kuficha kuhus yeye kuliwa, akikolezwa na boss anajisahau km yeye n mume wa mtu, anaishia kubaki single.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo
 
Bugati kula chuma hicho, usiachie hii pisi.

-1019849145.jpg
 
Back
Top Bottom