Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Na nyie akina dada mnatujazia tu server na stories zenu za kimbea. Inachosha sana. Humu wangekuwa wanaume wengi hata hizi threads zisingekuwepo za hovyo hovyo. Mi nlidhani wewe member ndo unaolewa. Kumbe mwenzio? Huyo haji anashughulika na nini mpaka unamleta huku utadhani wote tunamfaham