Hatimaye HAMAS yakiri kuuawa kwa makamanda wake watatu waliouliwa ndani ya handaki

Hatimaye HAMAS yakiri kuuawa kwa makamanda wake watatu waliouliwa ndani ya handaki

Huwezi kuelewa mtoto mdogo ila israel kapata somo ndio maana kakaa na wanaume mezani baada ya miezi miwili bila ya mafanikio yoyote huku na yeye akificha aibu ya makamanda wake aliyotumia gharama kubwa kuwatrain kushindwa kuwaokoa mateka mbele ya mgambo

Elimu ya madrassa ni useless sana, Gaza imesambaratishwa na kufanywa shamba, majengo 56,000 hala mateka mnarudisha, halafu mazombi yenu yameuawa zaidi ya 15,000....sijawahi kuona watu useless kama nyie, siku nyingine msifanye shobo kwa Myahudi, yule hupiga sio mchezo....na Mungu wake ana nguvu kuliko huyo wenu aliyepiga kona na kukimbia.
 
Labda wataalam waje wanielimishe ni kitu gani mlichopata kwenye huu uchokozi, mumeishia kurejesha mateka na Gaza imesambaratishwa, elimu ya madrassa shida sana.
Elimu ya madrsa ni mpango mzima.
Sijamuona mtu baada ya kufa akavishwa na kuswaliwa na vyama vya siasa au club za music
 
Huwezi kuelewa mtoto mdogo ila israel kapata somo ndio maana kakaa na wanaume mezani baada ya miezi miwili bila ya mafanikio yoyote huku na yeye akificha aibu ya makamanda wake aliyotumia gharama kubwa kuwatrain kushindwa kuwaokoa mateka mbele ya mgambo
Tatizo kubwa unaandika bila kujua sababu. Sababu ya Israel kukubali ni hizi
1. Miongoni mwa wanaoshikiliwa mateka na Hamas ni wamarekani, wajerumani, France uingereza na baadhi ya nchi za asia.
Hao wa magharibi ni waungaji mkono wa Israel, hivyo wamemuomba Israel afanye mkataba ili raia wao wasiuwawe kwenye mashimo wanakishikiliwa. Israel alikuwa hana chaguo ilikuwa kukubali ombi la washirika wake.
Hata hivyo katika idadi ya wanaoachia.na Hamas wa Marekani hawamo mpaka muda huu, na hiyo siyo kwa bahati mbaya , ni mkakati wa Hamas ili waje na madai ya mkataba mwingine kwa kuongeza madai.
Ila baada ya siku ya kesho utasikia.ninachokuambia
 
Elimu ya madrassa ni useless sana, Gaza imesambaratishwa na kufanywa shamba, majengo 56,000 hala mateka mnarudisha, halafu mazombi yenu yameuawa zaidi ya 15,000....sijawahi kuona watu useless kama nyie, siku nyingine msifanye shobo kwa Myahudi, yule hupiga sio mchezo....na Mungu wake ana nguvu kuliko huyo wenu aliyepiga kona na kukimbia.
Naona unahangaika sana tu. 2025 haiko mbali kesi za ugaidi kwa viongozi wa chadema zitarudi. Ya Gaza tutayasahau yatakuja haya
 
Mkuu Pande zote zimepata hasara! IDF imepoteza askari wengi kuliko unavyofikiri! Ingawa ni Ukweli usiopingika kuwa Hamasi wamepata kipigo ambacho kimegarimu askari na makamanda wengi!

Oya! Ukipata fursa pitia picha za Gaza uniambie nini utakiona pale, utadhani wamepigwa nyuklia, halafu wamepoteza watu zaidi ya 15,000 na raia wake wanateseka kwa kutegemea misaada, sasa hapo kwa mtu mwenye akili mlikua mnategemea nini haswa....
 
Attachments

  • IMG_6813.jpeg
    IMG_6813.jpeg
    82.9 KB · Views: 3
Elimu ya madrsa ni mpango mzima.
Sijamuona mtu baada ya kufa akavishwa na kuswaliwa na vyama vya siasa au club za music

Haina chochote zaidi ya kuvaa mikanzu tu, yaani huwa mnachekesha sana....
 
Hiyo taarifa ni kweli kabisa, nimeiona Aljazeera...kituo huru kwenye kutoa habari.
Aljazira wako based sana na Hamas, wanaonyesha vipicha vya watoto, waliojeruhiwa na kulia lakini picha za wakubwa hawaonyeshi
 
Oya! Ukipata fursa pitia picha za Gaza uniambie nini utakiona pale, utadhani wamepigwa nyuklia, halafu wamepoteza watu zaidi ya 15,000 na raia wake wanateseka kwa kutegemea misaada, sasa hapo kwa mtu mwenye akili mlikua mnategemea nini haswa....
Kwenye nchi za kiarabu hela haijawahi kuwa tatizo , gaza itajengwa ndani ya dakika sifuri, waulize waliyoenda qatar world cup walivyokuwa wanashangaa kufuru ya pesa
 
Elimu ya madrassa ni useless sana, Gaza imesambaratishwa na kufanywa shamba, majengo 56,000 hala mateka mnarudisha, halafu mazombi yenu yameuawa zaidi ya 15,000....sijawahi kuona watu useless kama nyie, siku nyingine msifanye shobo kwa Myahudi, yule hupiga sio mchezo....na Mungu wake ana nguvu kuliko huyo wenu aliyepiga kona na kukimbia.
Tulia dawa iingie acha kupaparika
 
Kwenye nchi za kiarabu hela haijawahi kuwa tatizo , gaza itajengwa ndani ya dakika sifuri, waulize waliyoenda qatar world cup walivyokuwa wanashangaa kufuru ya pesa

je hayo mazombi yenu zaidi ya 15,000 mtayafufua? Na usisahau bado kipigo kiko pale pale, yaani nimejaribu kujiuliza mara mia naishia kucheka tu, nyie watu zaidi ya kuvaa mikanzu mna nini kingine mnachoweza...maana hata hizo hela za uarabuni ilikua kwa elimu ya mzungu kugundua mafuta.
 
Oya! Ukipata fursa pitia picha za Gaza uniambie nini utakiona pale, utadhani wamepigwa nyuklia, halafu wamepoteza watu zaidi ya 15,000 na raia wake wanateseka kwa kutegemea misaada, sasa hapo kwa mtu mwenye akili mlikua mnategemea nini haswa....
 
Attachments

  • IMG_6767.jpeg
    IMG_6767.jpeg
    48 KB · Views: 2
je hayo mazombi yenu zaidi ya 15,000 mtayafufua? Na usisahau bado kipigo kiko pale pale, yaani nimejaribu kujiuliza mara mia naishia kucheka tu, nyie watu zaidi ya kuvaa mikanzu mna nini kingine mnachoweza...maana hata hizo hela za uarabuni ilikua kwa elimu ya mzungu kugundua mafuta.
Hao wazungu wenyewe hadi leo wanaenda kushangaa pyramids na kujiuliza zilijiengwa vipi kipindi amabpo hakuna mitambo na macrane
 
je hayo mazombi yenu zaidi ya 15,000 mtayafufua? Na usisahau bado kipigo kiko pale pale, yaani nimejaribu kujiuliza mara mia naishia kucheka tu, nyie watu zaidi ya kuvaa mikanzu mna nini kingine mnachoweza...maana hata hizo hela za uarabuni ilikua kwa elimu ya mzungu kugundua mafuta.
Hujui kwamba muarabu ndio alianza civilization hapa duniani ndio maana nasema tatizo lako ni elimu huna unavhojua zaidi ya unacholishwa na wachungaji wa mbagala na movie, earliest civilization on earth ilianza midfle east na sio ulaya
 
Attachments

  • Screenshot_20231126-164603_Chrome.jpg
    Screenshot_20231126-164603_Chrome.jpg
    79.6 KB · Views: 3
Bado wale wanabwia Gahawa kule Qatar [emoji1203] wawafuate wakalipue hao panya buku wakawahi bikra zao peponi.
 
Kuna watu wajinga sana kwa hiyo hapa ni kama ushabiki wa mpira hamas na Israel nani kampiga mwenzake mnasikia raha? Kama mna mahaba namna hiyo si mngekwenda kujiandikisha mamluki mkawapiganie wapendwa wenu mstari wa mbele
 
Mpaka sasa sijaelewa HAMAS walikusudia kupata nini kwenye hivi vita, wamepoteza kwa Gaza kugeuzwa shamba, wamepoteza makamanda na wapiganaji wengi sana, Wapaletsina wameuawa zaidi ya 15,000 na sasa wapo kwenye harakati za kurudisha mateka almradi Israel ipunguze mapigo na wananchi wapate misaada.
=======================

The Hamas terror group confirmed Sunday the deaths of several senior commanders who were targeted by Israel during the fighting in the Gaza Strip.

In a statement, the military wing of Hamas, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades, said Ahmed Ghandour, the commander of its northern Gaza brigade; Ayman Siam, the head of Hamas’s rocket firing array; as well as Wael Rajab and Raafat Salman were killed.

The Israel Defense Forces had previously said it had targeted Ghandour and Siam, but did not confirm they had been killed. After Hamas’s announcement, the IDF confirmed it had killed Ghandour, Siam, Rajab, Salman, and Farsan Khalifa, another senior member.

Israel has vowed to destroy Hamas and remove it from power in Gaza after the terror group carried out a devastating cross-border attack on October 7 that killed over 1,200 people in Israel, mostly civilians. Around 240 people were abducted and taken hostage in Gaza as thousands of terrorists rampaged for hours through southern areas.

Earlier this month the military said it hit top Hamas commanders in a pair of recent airstrikes against the terror group’s underground infrastructure in Gaza.

IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari did not at the time specify whether the senior Hamas officials were killed in the airstrikes. The army has targeted several of the listed individuals multiple times in the past 15 years.

Times of Israel
Ukitaka juwa balaa la mossad waulize Manazi wa Ugerman kiasi serikali ya Genrma ilifika mahali na kusema poo kwa Israel maana hakuna alie Baki hai hata leo..
 
Back
Top Bottom