Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo ni akili? Eti wamisri siyo waarabu , kuna haja kweli ya kuendelea kujibishana na wewe? Ok kwa hiyo misri ni wazungu au weusi kama wewe? Embu tupe jibu moja tu
Haya basi tufanye misri , iraq na syria wanakaa wazungu hapo umefurahi sasa? Kweli ukafir ni shida sana hata ukweli uliyekuwa wazi kabisa mtu anapinga tu aiseNakushangaa unavyozidi kudhihirisha ujinga wako, mumeaminishwa kila anayeongea Kiarabu ni muarabu na ndio maana mlivyopotoka mnang'ang'ana kuongea kiarabu eti ni lugha ya binguni.....mnachekesha kishenzi yaani
Tafuta mtu akuelimishe historia ya Wamisri, achana na uzombi wa madrassa.
![]()
Huna unachokijua ustaarabu ulianzia middle east ndio ukasambaa sehemu nyingine duniani hadi kwa hao wazungu wako unaowapenda ingawa hadi leo hata kunawa na maji bado hawaweziSoma historia ya watu vizuri utashangaa hao waarabu miungu wako ni useless kazi kuvaa mikanzu tu.
Mavi matupuUkitaka juwa balaa la mossad waulize Manazi wa Ugerman kiasi serikali ya Genrma ilifika mahali na kusema poo kwa Israel maana hakuna alie Baki hai hata leo..
Ukitaka juwa balaa la mossad waulize Manazi wa Ugerman kiasi serikali ya Genrma ilifika mahali na kusema poo kwa Israel maana hakuna alie Baki hai hata leo..
Mkuu Pande zote zimepata hasara! IDF imepoteza askari wengi kuliko unavyofikiri! Ingawa ni Ukweli usiopingika kuwa Hamasi wamepata kipigo ambacho kimegarimu askari na makamanda wengi!
Haya basi tufanye misri , iraq na syria wanakaa wazungu hapo umefurahi sasa? Kweli ukafir ni shida sana hata ukweli uliyekuwa wazi kabisa mtu anapinga tu aise
Huna unachokijua ustaarabu ulianzia middle east ndio ukasambaa sehemu nyingine duniani hadi kwa hao wazungu wako unaowapenda ingawa hadi leo hata kunawa na maji bado hawawezi
Udini utakuangamizaUharo mwingine huu wa Musrael mweusi wa Makete.😂
Sawa ila ndio wanapesa duniani au huoni ronaldo na wenzake wameenda wapi kufuata hela? Huoni mashirika ya ndege yanayoongoza duniani yanatoka wapi? Huoni timu za uingereza zinamilikiwa na na nani? Na hapa bongo huoni nani kashikilia uchumi wa nchi? Haya hama nchi kama hupendi waarabu maana ndio walipa kodi wakubwa hata hapa bongo, wewe hadi leo akili zako zimekusaidia nini?Hehehe Miarabu unayopenda kuabudu haina chochote cha maana kwenye ubongo zaidi ya kuvaa mikanzu na kulea ndevu, hiyo dini aliyoanzisha huyo 'mungu' wako muarabu ndio imesababisha uzembe sana hata kwa nyie waswahili, nenda maeneo yenye hiyo dini, mpo useless na wazembe wa kutupwa.
Sawa ila ndio wanapesa duniani au huoni ronaldo na wenzake wameenda wapi kufuata hela? Huoni mashirika ya ndege yanayoongoza duniani yanatoka wapi? Huoni timu za uingereza zinamilikiwa na na nani? Na hapa bongo huoni nani kashikilia uchumi wa nchi? Haya hama nchi kama hupendi waarabu maana ndio walipa kodi wakubwa hata hapa bongo, wewe hadi leo akili zako zimekusaidia nini?
U wish ila ndio wameshajaaliwa na mungu huna cha kufanya wala hakuna binaadamu yoyote anachoweza kubadilisha jitahidi uende hata dubai tu ukatoe tongo tongo inaonyesha wachungaji wameshakuharibu akiliYeah vyote hivyo ni ka ajili ya mzungu, hata pesa yenyewe mzungu amewawezesha maana yenyewe ni zero brain, hayo mafuta ni akili ya mzungu na pia mzungu anawatafuna pia...hehehe useless
U wish ila ndio wameshajaaliwa na mungu huna cha kufanya wala hakuna binaadamu yoyote anachoweza kubadilisha jitahidi uende hata dubai tu ukatoe tongo tongo inaonyesha wachungaji wameshakuharibu akili