Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #161
Wazee wa audition.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa umempa za usoHapo kwenye red please madame nakuomba unywe chai sina cha kujibu ila tu naomba unywe chai😀
BTW umeona clip zilizounganishwa Hamisa anaongea kuhusu ndoa
Clip ya 1 "Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini ndoa, ndo maana watoto wangu nimewazaa nje ndoa"
Clip 2 akiongea na le mgangaz "Nataka ndoa nataka nyumba nataka mtoto akubalike"
Ha ha ha chezea sizitaki mbichi hizi ndoa ataishia kuiona kwenye page za instagram
Inapatikana WAP nikachungulie.Hapo kwenye red please madame nakuomba unywe chai sina cha kujibu ila tu naomba unywe chai😀
BTW umeona clip zilizounganishwa Hamisa anaongea kuhusu ndoa
Clip ya 1 "Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini ndoa, ndo maana watoto wangu nimewazaa nje ndoa"
Clip 2 akiongea na le mgangaz "Nataka ndoa nataka nyumba nataka mtoto akubalike"
Ha ha ha chezea sizitaki mbichi hizi ndoa ataishia kuiona kwenye page za instagram
Yaani povu liliwatoka hasa kumtetea hadi walisema kina esma wamefabricate sauti, haya leo mlengwa kakiri sauti yake wanabadilisha habar eti alienda kwa shehe kuomba dua anataka amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wameumbuka vibaya na dada yao mangeKuna watu walimtetea hapa mpaka vita ikakaribia kutokea ....Leo amekiri...shekhe gani mwendawazimu atuachie maostadhi wetu tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye anayejielewa mbona anatoa siri za familia ya mzazi mwenzieView attachment 873774View attachment 873775
Diamond angekua hajielewi ungemuhangaikia kwa mganga, sema we ndo hakuelewi.
Sasa kama kale kabint kana miaka 5 inamaana alizaa akiwa 18yrs, na form four kamaliza na miaka mingapi mweh!Ana miaka 23, na ana watoto wawili kale kabinti nadhani kana mitano....
Nampendaga sana Eva...mwenyewe anajua...hahaa",eve hanaga nouma", hao wengine wapotezee tu" wasije kukukausha Uzazi"....
Hana 23 bwana ana 26 Eva huyo utamuweza[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2]Sasa kama kale kabint kana miaka 5 inamaana alizaa akiwa 18yrs, na form four kamaliza na miaka mingapi mweh!
Kawaida sana hyo kuomba dua kwa maustadhi wala hakuna La ajabu..Yaani povu liliwatoka hasa kumtetea hadi walisema kina esma wamefabricate sauti, haya leo mlengwa kakiri sauti yake wanabadilisha habar eti alienda kwa shehe kuomba dua anataka amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wameumbuka vibaya na dada yao mange
Miaka 43 ni bibi? Wewe una miaka mingapi?Bibi enu porn stars....mnamfagailia kwa lipi zee kama lile nyapu yake iko mtandaoni kama yotee..full drama mtu umri wa miaka 43 si ujukuu anapaswa kua nao halafu anaendekeza drama pyeeee
Hamisa ana miaka 26 ...huo ndo ukweli kazaliwa 1994...!!!
...
Haya wacha muvi iendeleeKawaida sana hyo kuomba dua kwa maustadhi wala hakuna La ajabu..
Mbaya kufanya shirki I mean kupiga ramli !!
Acha roho mbaya mwanamke. Maisha yako duni pambana na hali yako sio kuhamishia stress kwa wengine.Nampendaga sana Eva...mwenyewe anajua...
Zarina Hassan aka bibi kizee...aliyewekwa selo kwa kufoji umri..anataka ujana ujana ushamtupa mkonoo...kafanya surgery wapiii....mwanamke ambae hawezi amka bila make upu!!
Lock up kuzurii!!
Ila ana safar ndefu sana 26 two kids different fatherHana 23 bwana ana 26 Eva huyo utamuweza[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2]
Kati ya Zari na Hamisa wote hakuna aliyeolewa[emoji2] [emoji2] [emoji2] Tukianao ana 43 watoto sita wote wa zinaa tu(soryy kukwaza watu)namuonea hurumaaHapo kwenye red please madame nakuomba unywe chai sina cha kujibu ila tu naomba unywe chai😀
BTW umeona clip zilizounganishwa Hamisa anaongea kuhusu ndoa
Clip ya 1 "Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini ndoa, ndo maana watoto wangu nimewazaa nje ndoa"
Clip 2 akiongea na le mgangaz "Nataka ndoa nataka nyumba nataka mtoto akubalike"
Ha ha ha chezea sizitaki mbichi hizi ndoa ataishia kuiona kwenye page za instagram
Hesabu zimempiga chenga mwalimu wa hamisaHuu uzi nimepita tu, kuna marekebisho ya kufanya.
2018 - 1994 = 24, siyo 26.
Zari 6 baba tofautiIla ana safar ndefu sana 26 two kids different father
Kweli ndo umri wake mmesahau nashukuru kunirekebishaHuu uzi nimepita tu, kuna marekebisho ya kufanya.
2018 - 1994 = 24, siyo 26.