Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

IMG_20180923_101859_092.jpg

Wazee wa audition.....
 
Hapo kwenye red please madame nakuomba unywe chai sina cha kujibu ila tu naomba unywe chai😀

BTW umeona clip zilizounganishwa Hamisa anaongea kuhusu ndoa
Clip ya 1 "Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini ndoa, ndo maana watoto wangu nimewazaa nje ndoa"

Clip 2 akiongea na le mgangaz "Nataka ndoa nataka nyumba nataka mtoto akubalike"
Ha ha ha chezea sizitaki mbichi hizi ndoa ataishia kuiona kwenye page za instagram
Haaa umempa za uso
 
Inapatikana WAP nikachungulie.
 
Kuna watu walimtetea hapa mpaka vita ikakaribia kutokea ....Leo amekiri...shekhe gani mwendawazimu atuachie maostadhi wetu tafadhali
Yaani povu liliwatoka hasa kumtetea hadi walisema kina esma wamefabricate sauti, haya leo mlengwa kakiri sauti yake wanabadilisha habar eti alienda kwa shehe kuomba dua anataka amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wameumbuka vibaya na dada yao mange
 
Bibi enu porn stars....mnamfagailia kwa lipi zee kama lile nyapu yake iko mtandaoni kama yotee..full drama mtu umri wa miaka 43 si ujukuu anapaswa kua nao halafu anaendekeza drama pyeeee
 
hahaa",eve hanaga nouma", hao wengine wapotezee tu" wasije kukukausha Uzazi"....
Nampendaga sana Eva...mwenyewe anajua...

Zarina Hassan aka bibi kizee...aliyewekwa selo kwa kufoji umri..anataka ujana ujana ushamtupa mkonoo...kafanya surgery wapiii....mwanamke ambae hawezi amka bila make upu!!

Lock up kuzurii!!
 
Yaani povu liliwatoka hasa kumtetea hadi walisema kina esma wamefabricate sauti, haya leo mlengwa kakiri sauti yake wanabadilisha habar eti alienda kwa shehe kuomba dua anataka amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wameumbuka vibaya na dada yao mange
Kawaida sana hyo kuomba dua kwa maustadhi wala hakuna La ajabu..

Mbaya kufanya shirki I mean kupiga ramli !!
 
Nampendaga sana Eva...mwenyewe anajua...

Zarina Hassan aka bibi kizee...aliyewekwa selo kwa kufoji umri..anataka ujana ujana ushamtupa mkonoo...kafanya surgery wapiii....mwanamke ambae hawezi amka bila make upu!!

Lock up kuzurii!!
Acha roho mbaya mwanamke. Maisha yako duni pambana na hali yako sio kuhamishia stress kwa wengine.
 
Hapo kwenye red please madame nakuomba unywe chai sina cha kujibu ila tu naomba unywe chai😀

BTW umeona clip zilizounganishwa Hamisa anaongea kuhusu ndoa
Clip ya 1 "Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini ndoa, ndo maana watoto wangu nimewazaa nje ndoa"

Clip 2 akiongea na le mgangaz "Nataka ndoa nataka nyumba nataka mtoto akubalike"
Ha ha ha chezea sizitaki mbichi hizi ndoa ataishia kuiona kwenye page za instagram
Kati ya Zari na Hamisa wote hakuna aliyeolewa[emoji2] [emoji2] [emoji2] Tukianao ana 43 watoto sita wote wa zinaa tu(soryy kukwaza watu)namuonea hurumaa

Umesahau alisema ataolewa na daimond kwa ndoa ya 2mils$hatujasahau shostii...hahaaaahaaa

Ivan kamlala miaka 15 na usheee..hana ndoa alikua anajiita Mrs Dee[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]jamani ndoa sio ya kila mtu wengine kama kina Zari ni viburudisho tuu...

Hamisa mudaaa hata 30 hajafika ila yule kikongwe 43 yrs hakuna wa kuoa msingi kuziniwa tu..namuonea hurumaaaa
 
Back
Top Bottom