Hatimaye Harmonize anunua bonge la kiwanja,akipanga kushusha Ghorofa hapa mjini

Hatimaye Harmonize anunua bonge la kiwanja,akipanga kushusha Ghorofa hapa mjini

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kama kawaida mimi kama shabiki wa Vijana mahustler, wapambanaji nichukue nafasi hii adimu kumpa kongole kijana mwenzetu kwa hatua kadhaa anazopiga kiuchumi na kupitia muziki wake.

- Naamini hiiitakuwa chachu kwa vijana wengi zaidi kujifunza na kufanya mambo mengi mazuri - na kuachana na tabia ya kulalamika 24/7.

- Tubadili FIKRA zetu - Opportunies are always around.

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Harmonize akiwa ameambatana na mama yake.
 

Attachments

  • 14736454_1181314521933861_5199219050391011328_n.jpg
    14736454_1181314521933861_5199219050391011328_n.jpg
    248.1 KB · Views: 488
  • 14736454_1181314521933861_5199219050391011328_n_002.jpg
    14736454_1181314521933861_5199219050391011328_n_002.jpg
    70.8 KB · Views: 256
Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana

Wote wamepangishwa kwenye nyumba za Diamond hakuna anayemiliki nyumba katiyao..
 
Yaani mpaka sungu inangupweteka muchi mngung'u nwangu apite kunalisweka kwanga nchaga, bora akipe msumbiji akavatware vana va chireno
Watoto wakireno atawawezea wapi huyo kubeba Mwanamke kama jack alokua anahongwa mamilioni itamgharimu sana Huyo dogo
 
ダンジョンに出会いを求めるのは間違っているだろうか
(Danjon ni Deai o Motomeru no wa Machigatteiru Darō ka)
 
Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
Duuuh anamfungulia miradi? Miradi yake yeye hajaifungua?
 
Huyo mkaka aliyenyoosha kidole, mbona ana maumbile makubwa?
Kaikunjia kushoto hadi ring limeonekana.
Akina kaka mjisitiri kwa kuvaa boxer au chupi.
Huko maporini mkinasa kwenye visiki mkachana suruali je?
 
Back
Top Bottom