Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kama kawaida mimi kama shabiki wa Vijana mahustler, wapambanaji nichukue nafasi hii adimu kumpa kongole kijana mwenzetu kwa hatua kadhaa anazopiga kiuchumi na kupitia muziki wake.
- Naamini hiiitakuwa chachu kwa vijana wengi zaidi kujifunza na kufanya mambo mengi mazuri - na kuachana na tabia ya kulalamika 24/7.
- Tubadili FIKRA zetu - Opportunies are always around.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Harmonize akiwa ameambatana na mama yake.