Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

Mbona haushangai timu za nje kutumia uwanja wa Azam FC kuwa uwanja wao wa nyumbani?
Tunaishi kwenye jamii zilizofungwa akili, (closed minded), swali fikirishi je Vitali'o kuchagua uwanja wa Azam complex ilikuwa ni ulevi wa madaraka?, Pia kuna wengine watatumia uwanja huohuo kama wa nyumbani nao watakuwa ni walevi wa madaraka
 
Acha ujinga, hujui matatizo ya Vitalo ?
 
Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi?
Mkiingia madarakani mwaka 2115 mtaunda Ufipa FC iwe inacheza mechi zake huko Machame. Ila kwa sasa tulizeni mizuka.
 
Tunaishi kwenye jamii zilizofungwa akili, (closed minded), swali fikirishi je Vitali'o kuchagua uwanja wa Azam complex ilikuwa ni ulevi wa madaraka?, Pia kuna wengine watatumia uwanja huohuo kama wa nyumbani nao watakuwa ni walevi wa madaraka
kama huna akili bora ukae kimya usiandike upumbavu wako tupo sisi wengine tunao chukia ujinga
 
Soma na kukielewa nilichokiandika ili usiwe mjinga yaani mvivu wa kufikiri, (lazy thinker), from the beginning of this thread
 
Hivi mmesahau mama fatma karume ni kadi namba ngapi ?! Yeye na mumewe katika historia ya Timu ya yanga
 
Back
Top Bottom